BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali.
2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu sehemu hiyo.
3. Leo hii 07-02-2025 mmenifanya nimekosa dili lenye pesa na ujobless wangu huu jamaa anakuja niambia nimekupigia simu hukupatikana Bardizbah.
Laini yenu naivunja rasmi leo kabla ya saa kumi jioni now naitumia kuwahabarisha tu watu kuwa hii namba haitokuwa hewani tena ntakuwa hewani kwa namba nyingine .
Go and faicki yua selfu@Halotel Tz