issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
mkuu walau voda wanajitahidi hasa kwenye insu ya miamala, voda hawagandishi pesa yako hewani kihuni.Sasa utatumia mtandao upi? Mitandao ya simu za mkononi Tanzania ina changamoto kubwa sana. Natumia karibu line zote lakini mambo ni yaleyale..... Kama hujapunjwa bundle lazima mtandao uwe dhaifu.... Sijaona kampuni lenye unafuu kwa Tanzania.