Mkuu huu mtando una muda lakini hawaendi mbele bali wanarudi nyuma.Halotel Mimi walinishinda tabia, hawana bonus, hawakopeshi muda wa maongezi na Wala hawana huduma ya wateja inayoeleweka. Kimbembe ununue luku kupitia halopea na tokeni zichelewe utakoma mzee
Wapuuzi.Mwenyew next wik naenda ivunja pia...ni wapuuz sanaa...mara wakuunge kweny huduma zao kwa lazima afu wakukate hela .....mbaya zaid huwez kuongea na mtu dk 5 bila network yao kukata...umekuwa mtandao wq kikuda sanaa
Kama upo hapa tandahimba tigo ni kila kitu1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali.
2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu sehemu hiyo.
3. Leo hii 07-02-2025 mmenifanya nimekosa dili lenye pesa na ujobless wangu huu jamaa anakuja niambia nimekupigia simu hukupatikana Bardizbah.
Laini yenu naivunja rasmi leo kabla ya saa kumi jioni now naitumia kuwahabarisha tu watu kuwa hii namba haitokuwa hewani tena ntakuwa hewani kwa namba nyingine .
Go and faicki yua selfu@Halotel Tz
Hawa Wavietnam wakati wanakuja 2014 walijioambanua kwamba wanakuja kuleta mapinduzi ya mawasiliano Tanzania kuanzia kushusha gharama za mabando na kuuza simu kwa bei nafuu.1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali.
2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu sehemu hiyo.
3. Leo hii 07-02-2025 mmenifanya nimekosa dili lenye pesa na ujobless wangu huu jamaa anakuja niambia nimekupigia simu hukupatikana Bardizbah.
Laini yenu naivunja rasmi leo kabla ya saa kumi jioni now naitumia kuwahabarisha tu watu kuwa hii namba haitokuwa hewani tena ntakuwa hewani kwa namba nyingine .
Go and faicki yua selfu@Halotel Tz
Serikali haijajipanga kwa hili.Hakuna mamlaka za usimamizi ubora wa huduma zinazojitegemea.Nyingi uwekwa kwenye majukumu ambayo mwisho wa siku haziwezi kujua kuna kampuni mbovu au ni tapeli mpaka itakapotokea malalamiko yamekuwa mengi.
Halotel wamezidi mkuu.Sasa utatumia mtandao upi? Mitandao ya simu za mkononi Tanzania ina changamoto kubwa sana. Natumia karibu line zote lakini mambo ni yaleyale..... Kama hujapunjwa bundle lazima mtandao uwe dhaifu.... Sijaona kampuni lenye unafuu kwa Tanzania.