Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,877
- 4,522
Unauliza sana, hadi saiz haujafika?? Sa age mie naijuaje nakat mwonekano ndo naweza kuuona. We sio mlaji, me nipo hapa kwenye maduka ya nje nafaka vinavyofika na bajaj kabla havijaingiavinakuwa na age gani?