Swali la msingi sana mkuu manake ma binti wa sikuizi kimeo sana! Unaoa kumbe mileage ishaenda sana na mashine ishaguswa na mafundi kibao, haitotoi tena.
Habar zenu wakuu,nimeambatana na mchumba wangu hapa tupo safarin kuelekea tanga kwa ajili ya utambulsho,jaman naomben maombi yenu nikubaliwe na hatmae tupewe baraka zote,

hahaha, huwa wanalisha libwata ambalo utaishi maisha yako yote ukijua kuwa watu wa tanga pekee ndo wanajua mapenzi kuliko wote, ..kumbe kazi yao ni kuzungusha tu likiuno bila hata mpangilio...akizungukaaaaa weee bila hata manjonjo yeyote anafikir ndo kujua mapenzi...kuna watu wanatoka mikoani, wasomi wamesoma hadi kisomo namna ya kufanya majamboz ukikutana nao, hawaweki libwata lakini hutakuja uwaache...mimi mwanamke wa tanga simtaki...lakini kipenda roho hula nyama mbichi...
Kaka karibu Saaana wengine tunatimiza wiki Sasa katika ndoa YAANI ni tah teh tih tah teh vicheko mwanzo mwisho we ni Tanga mi aw kwangu nimemtoa Mbeya Songwee
.
Someone is just about to became miserable for the rest of his/her life!
.
.
Someone is just about to became miserable for the rest of his/her life!
.