Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Hongera sana, Amani na upendo uwe nanyi
Nimeipenda ID yako,imenifurahisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana, Amani na upendo uwe nanyi
hongera sana ..ila na ww ulianza uzinifu wakati bado mdogo bwana ...mungu hapendi mambo hayo...hongera lakini kwa kuingia kwenye chama cha kujitakia BP na Heart attacks na brain concusions za bure.....
hongera sana ..ila na ww
ulianza uzinifu wakati bado mdogo bwana ...mungu hapendi mambo
hayo...hongera lakini kwa kuingia kwenye chama cha kujitakia BP na Heart
attacks na brain concusions za bure.....
Hongera Sana na jitahidini kukabili ups and downs ndani ya ndowa mkiwa pamoja.Habari za jumapili wana JF leo tarehe 17 June 2012 nafunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tumekuwa na mahusiano since 2007 tukiwa chuoni. Ndoa itafungwa katika kanisa la SDA Njiro wote mnakaribishwa. Namshukuru Mungu kuifikia siku hii
hongera sana,na ukaanze kulila tunda ulilonyimwa toka 2007 na pia Mwenyezi Mungu akupe nguvu,pia akujalie siha njema.
Hongera sana asee umenikumbusha miaka minne iliyopita,Habari za jumapili wana JF leo tarehe 17 June 2012 nafunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tumekuwa na mahusiano since 2007 tukiwa chuoni. Ndoa itafungwa katika kanisa la SDA Njiro wote mnakaribishwa. Namshukuru Mungu kuifikia siku hii