Hongera kaka kwa kuukubali huo msalaba mpaka goligoti...mungu akujalie wepesi katika kuubeba na akupe uvumilivu katika kuufikisha goligoti. Amen!
Nakupongeza na kukuombea ndoa yenye amani. Ila uwe unaingia huo mkataba kwa hiari. Maana kuna mengi yasiyokupendeza kuhusu mwenza wako utayajua baada ya ndoa. Vumilia. Wenzio tuliotangulia wakati mwingine tunatamani tusingeoa kabisa. Kila la kheri.
Habari za jumapili wana JF leo tarehe 17 June 2012 nafunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tumekuwa na mahusiano since 2007 tukiwa chuoni. Ndoa itafungwa katika kanisa la SDA Njiro wote mnakaribishwa. Namshukuru Mungu kuifikia siku hii
Amina kaka.Daah ahsante Mungu sasa imetimia miaka mitano pamoja na ups and down nyingi bado sijajuta kuwa kwenye ndoa hii much love to my children
Nazid kuhesabu baraka
Hongera sanaHabari za jumapili wana JF leo tarehe 17 June 2012 nafunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tumekuwa na mahusiano since 2007 tukiwa chuoni. Ndoa itafungwa katika kanisa la SDA Njiro wote mnakaribishwa. Namshukuru Mungu kuifikia siku hii