Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Ndugu wana JF
Kwa furaha hii, nimepanga kidogo kilichobaki nikalambe ulabu (ndovu baridiiii)
Sio Kwamba hicho kidogo ukifungulie Fixed Account ili kila mwezi uongezee, ili mwaka kesho usipate hizi tabu tena zilizokupata mwaka huu???

Hongera sana mkuu wetu..
Umefanya vizuri sana kuweka kipaumbele kwa hawa kizazi kinachoendelea.
Nakupa goahead hapo kajinunulie Tusker kadha, bili kwangu.
Ndugu wana JF
nimepanga kidogo kilichobaki nikalambe ulabu (ndovu baridiiii) na nibakize sadaka kwa ajili ya kumshukuru Mungu Jumapili.
Kuwashirikisha furaha yangu haina maana kuwa nimepata shida sana kupata karo za wanangu.
kidogo ninachokisema ni kile nilichowithdraw (leo) kutoka benki na si kwamba akaunti haikubaki na kitu kabisa. I am liquid enough.
Hata hivyo nakushukuru kwa ushauri ingawa benki haziruhusu kudeposit pesa kila mwezi katika FDR. As a new invention, thanks for your advice.
Samahani ndugu kwa kutokukuelewa mimi ulivyosema kilichobaki nilidhani ni KILICHOBAKI... pili hapo kwenye BOLD am sure kuna Accounts kama vile Nyota Children Account
Hongera kwa kukamilisha malengo! ila kama ukiweza achana na mipombe haina issue. Utaishia kujuta tu asubuhi baada ya ulabu kuisha kichwani.
Tena na ninyi wahaya mnapokunywa pombe yote inahamia chini kwenye utu uzima ( i am sure unanielewa)
tuko pamoja... nimelimss Frijilangu.... ni vyombo mpaka majogooo!!!zikiisha nahamia..Ndugu wana JF
Niwashirikishe furaha yangu ya kuwa leo nimeweza kulipa karo za wanangu sita. Kwa furaha hii, nimepanga kidogo kilichobaki nikalambe ulabu (ndovu baridiiii) na nibakize sadaka kwa ajili ya kumshukuru Mungu Jumapili. Nawaombea ambao bado hawajatimiza jukumu hili muhimu, Mungu akazibariki kazi zao halali ili nao wakamilishe jukumu hili.
Nasema :welcome:katika kijiwe changu hapa Kabuteigi tule vitu.
I wish you an enjoyable week-end while drinking responsibly. I love you all.
Sio Kwamba hicho kidogo ukifungulie Fixed Account ili kila mwezi uongezee, ili mwaka kesho usipate hizi tabu tena zilizokupata mwaka huu???
Nimemuuliza kulingana na alivyosema kwenye wording zake, kidogo kilichobaki kumbe shida ilikuwa kwenye definition ya KILICHOBAKI, kumbe kilibaki katika zile alizodraw na sio kwamba chote kilichobaki benki.... now if the former was true basi ingebidi a-save lakini alivyonielewesha kwamba hizo karo zilikuwa ni vijisenti tu na benki bado ana pesa nyingi basi ndo nikamwambia hakuna noma..... ijamani mwacheni a enjoy maisha kidogo ...
kaiweka familia yake kwanza (hongear sana)
na sasa naye afurahie maisha ....
msileta maisha ya kizungu sana
ndo maana wengi wako wanakuwa na depression ...
live like there is no tomorrow...
ungesema nusu ya hiyo kidogo aiweke bank na nusu aka jipongeze hapo ndo ningekuelewa...
Nimemuuliza kulingana na alivyosema kwenye wording zake, kidogo kilichobaki kumbe shida ilikuwa kwenye definition ya KILICHOBAKI, kumbe kilibaki katika zile alizodraw na sio kwamba chote kilichobaki benki.... now if the former was true basi ingebidi a-save lakini alivyonielewesha kwamba hizo karo zilikuwa ni vijisenti tu na benki bado ana pesa nyingi basi ndo nikamwambia hakuna noma..... i
Ndugu wana JF
Niwashirikishe furaha yangu ya kuwa leo nimeweza kulipa karo za wanangu sita. Kwa furaha hii, nimepanga kidogo kilichobaki nikalambe ulabu (ndovu baridiiii) na nibakize sadaka kwa ajili ya kumshukuru Mungu Jumapili. Nawaombea ambao bado hawajatimiza jukumu hili muhimu, Mungu akazibariki kazi zao halali ili nao wakamilishe jukumu hili.
Amina.