Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u

921-i_love_you_teddy_bear.jpg
 
Nakupenda pia mwandani wangu, chuma la roho yangu, rafiki yangu wa maisha..mwaaaah
 
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u

921-i_love_you_teddy_bear.jpg

Love you too darling. Can't live without you. Umenikumbusha mbali kweli, siku ile nilipokuona kwa mara ya kwanza, moyo wangu uliongeza kasi ya mapigo. Nilijiuliza ntakutokeaje, na je nikipata ujasiri wa kukutokea halafu ukanikatalia ingekuwaje.

Nashukuru hukuniangusha. Japokuwa sikukukuta bikira, lakini sikujali. Hao walionitangulia hawanibabaishi. Najua hawana nafasi kabisa katika moyo wako. Walikuwa wanajifunza tu darling. Ntakupenda daima. Sitakuangusha.

Luv u my carpet and ceiling board.
Chris.
 
Ulilala nje nini? ... unasutwa na matendo yako?
 
I love you too my Baby. Asante saana kuniambia unanioenda katika forum Hii. See you later baby.
 
mmmmh huyu naye ...😡jamani nyie mbona mnaweza vunja ndoa za watu

hii ni special thanx to my husband eeh
 
hawanisumui watu kama kama hao, penzi langu kwako ni zadi ya damu mwilini.
 
i love you soo much ..sijuti kukufahama and i wish to meet you in my next life after this world.You are my reason to live..see you later darling
 
I love you too my Baby. Asante saana kuniambia unanioenda katika forum Hii. See you later baby.

eeeh can imagine mbona mmefika watatu tayari 😱 katika muda mfupi tu
 
i love you soo much ..sijuti kukufahama and i wish to meet you in my next life after this world.You are my reason to live..see you later darling

aaaah hivi mnajua nimepigwa butwaa sikumaanisha hivi jamani was really serious nyie mnadhani joke😡
 
umeyataka mwenyewe subiri akina Fidel masanilo na next leve hao ndo watalia kabisa utadhani umelala nao
 
aaaah hivi mnajua nimepigwa butwaa sikumaanisha hivi jamani was really serious nyie mnadhani joke😡

Nawashangaa wanavyoleta utani wakatu sisi tunaoneshana malavi davi, achana nao tuhamie kwenye PM maana hapa wamejaa mafisadi wa ndoa za watu.
 
eeeh can imagine mbona mmefika watatu tayari 😱 katika muda mfupi tu

Hao wengine wababaishaji. Ndio wale waliokuanza kabla sijakutana na wewe nikaamua kukuoa. Achana nao. Ni mimi na wewe daima.
 
Aaaaaannh, Mungu wanguuuu, yani my wife kumbe unamahusiano ya siri na wanaJF wenzangu??, leo siri imefichuka khaaa, ndio maana naona wengi humu wananipa mabifu kumbe kwa sababu yako my wife wangu?, hakyanani NTAUA MTU. Inaniuma sana mpaka Kigogo na Burn nao ndani ya nyumba kwa my wife??
 
Back
Top Bottom