Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
no komenti hapo kwenye bold, ila nadhani kijana unahitaji kununua msuli maana naelekea kilwa kufundisha adabu, ili ujue mke wa mtu ni sumu.
You have made my day mkuu. hahahahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no komenti hapo kwenye bold, ila nadhani kijana unahitaji kununua msuli maana naelekea kilwa kufundisha adabu, ili ujue mke wa mtu ni sumu.
Love you too darling. Can't live without you. Umenikumbusha mbali kweli, siku ile nilipokuona kwa mara ya kwanza, moyo wangu uliongeza kasi ya mapigo. Nilijiuliza ntakutokeaje, na je nikipata ujasiri wa kukutokea halafu ukanikatalia ingekuwaje.
Nashukuru hukuniangusha. Japokuwa sikukukuta bikira, lakini sikujali. Hao walionitangulia hawanibabaishi. Najua hawana nafasi kabisa katika moyo wako. Walikuwa wanajifunza tu darling. Ntakupenda daima. Sitakuangusha.
Luv u my carpet and ceiling board.
Chris .
Kaka omba Msamaha jamaa akikuendea Kilwa ...habari yake pevu!
najuuuuuuuuuuuuta kuwafahamu
Love you too darling. Can't live without you. Umenikumbusha mbali kweli, siku ile nilipokuona kwa mara ya kwanza, moyo wangu uliongeza kasi ya mapigo. Nilijiuliza ntakutokeaje, na je nikipata ujasiri wa kukutokea halafu ukanikatalia ingekuwaje.
Nashukuru hukuniangusha. Japokuwa sikukukuta bikira, lakini sikujali. Hao walionitangulia hawanibabaishi. Najua hawana nafasi kabisa katika moyo wako. Walikuwa wanajifunza tu darling. Ntakupenda daima. Sitakuangusha.
Luv u my carpet and ceiling board.
Chris.[/QUOT
mhhhh..........
Piga jaramba nyamayao, FL1 akikubali kuunguzwa, nahamishia makazi kwako.
Kaka haya maneno yametulia sana, naomba niyatumie sehemu...ila nitayapiga kwa ung'eng'e sidhani kama shorwe ninayemuwinda atachomoa.
najuuuuuuuuuuuuta kuwafahamu
Piga jaramba nyamayao, FL1 akikubali kuunguzwa, nahamishia makazi kwako.
Mpwa Nyamayao ni kigongo hicho, lakini usihofu wakulu hapa watakupa strategy

Nitajitahidi kukibeba kiume kwa hasira, hasa baada ya FL1 kukubali kuwa burned.
Sikujua FL1 kama wewe ni mtaalamu wa kuwapanga hawa jaama hivi. Duuu. Kwa hiyo kila mmoja anakuja kwa wakati wake, alafu kila mmoja anang'ang'nia umiliki no matter what! Basi kweli wewe uko JUU!
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
![]()
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u
![]()
Nitajitahidi kukibeba kiume kwa hasira, hasa baada ya FL1 kukubali kuwa burned.
Mkuu hapo tunafungua ukarasa mmoja, maana umem endorse FL1 kuwa shemeji yako rasmi, nitakupa msaada kwa nyamayao maana wanasikilizana vizuri na wifey, ngoja nimpange aanze kukupigia one two chini kwa chini.
Ruksa kaka, ila urekebishe kidogo, umfagilie ilimkuta bikira japokuwa ilikuwa used. Women like to be cheated!
hawanisumui watu kama kama hao, penzi langu kwako ni zadi ya damu mwilini.
Mkuu hapo tunafungua ukarasa mmoja, maana umem endorse FL1 kuwa shemeji yako rasmi, nitakupa msaada kwa nyamayao maana wanasikilizana vizuri na wifey, ngoja nimpange aanze kukupigia one two chini kwa chini.
Mkuu dalili ya mvua ni mawingu. Tangu tumeanza, alikuwa ananishushua mimi tuuuuuu. Wewe wala. Nisaidie kwa nyamayao mkuu, mwambie na shem, msaada wake ni muhimu sana.
Umeishawahi fikiria kwenda iba gerezani? I cheat a lot with gals, ndo maana wananizimia....kuna demu nilimwambia wewe mtamu kuliko mademu wote niliwahi waona...sikumbuki kilichofuata.....