Ukifika toa mrejeshoAcha basi kweli?? Basi inabd nitembelee huko asee kila siku jamaa angu ananambia niende masasi nazingua naona ka patakua kijijin
Haha.... Pole Sana mkuuMkuu km wewe ni Me usijaribu kumchukua dada wa kimasasi utamuacha mkeo mwenzio nimeponea kwenye tundu la sindano usijarabu Tanga hawaingii kwa wadada wa masasi ni mafundi haijapata toka toka Dunia kuumbwa
Anazingua huyo ana kundi la watu wasiojulikana.wasiotaka kukosolewaHizi topic za kufahamiana fahamiana na kukutana zimekuwa nyingi mno.
Wewe sema wenyeji wakupe uhalisia wa eneo husika na maeneo muhimu kulingana na interest zako lakini hili la kufahamiana limekaa kimakengeza sana.
Atakuwa wa mkomaindo huyo nurse?Sio kijijini pamechangamka kiasi chake sababu kuna wafanyabiashara wa mbao msimu wa korosho mbaazi ufuta.nilijichanganya na dada wa huko Nurse mmoja anaitwa Tatu hatari kaka kila w end lzm niende Masasi au tukutane Lindi.
Kweli nimejionea.... Ila uwanja wa Fisi kuna biashara ganiWasichana wa masasi hawajawah kumuacha mtu salama na ule mji una guest house nying kuliko nyumba za ibada kuwa makin mkuu kuna maeneo kama mkuti na jida na rest hayo ni balaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mwenywe huko nlikutana nae hapa dar bado nusu nifie gest aiseee wanajua kutoa mzigo. Kwa moyo hatarMkuu km wewe ni Me usijaribu kumchukua dada wa kimasasi utamuacha mkeo mwenzio nimeponea kwenye tundu la sindano usijarabu Tanga hawaingii kwa wadada wa masasi ni mafundi haijapata toka toka Dunia kuumbwa
Haha mna hatari sanaMm mwenywe huko nlikutana nae hapa dar bado nusu nifie gest aiseee wanajua kutoa mzigo. Kwa moyo hatar
Mpaka nikapiga mayoweee
Uwiiiiiii
Kuna Nini mzee... Tupe uhondo woteUsithubutu kwenda kwenye vile vi grosary pale nyuma ya stendi ya mabasi .wenyewe wanapaitaga uwanja wa fisi
Sijajua TusubiriKwani leo bei ya Mbaazi ni Tsh ngapi.......................!!!????
Kuna Nini mzee... Tupe uhondo wote
Kwani Mm sipendi Utamu....Kwa kuwa wewe ni baba bora, haupaswi kujua labda akina kichwa kichafu
HA! Ha! Ha!Kwa kuwa wewe ni baba bora, haupaswi kujua labda akina kichwa kichafu
Kwani Mm sipendi Utamu....
Pana Nini Hapo fisiHA! Ha! Ha!
Hata mimi sijawahi kufika huko ndugu yangu Lihove2017 aje kutujuza zaidiPana Nini Hapo fisi