Leo nakuja Masasi wenyeji wa huko naomba niwajue

Leo nakuja Masasi wenyeji wa huko naomba niwajue

Hizi topic za kufahamiana fahamiana na kukutana zimekuwa nyingi mno.

Wewe sema wenyeji wakupe uhalisia wa eneo husika na maeneo muhimu kulingana na interest zako lakini hili la kufahamiana limekaa kimakengeza sana.
 
Mkuu km wewe ni Me usijaribu kumchukua dada wa kimasasi utamuacha mkeo mwenzio nimeponea kwenye tundu la sindano usijarabu Tanga hawaingii kwa wadada wa masasi ni mafundi haijapata toka toka Dunia kuumbwa
Haha.... Pole Sana mkuu
 
Hizi topic za kufahamiana fahamiana na kukutana zimekuwa nyingi mno.

Wewe sema wenyeji wakupe uhalisia wa eneo husika na maeneo muhimu kulingana na interest zako lakini hili la kufahamiana limekaa kimakengeza sana.
Anazingua huyo ana kundi la watu wasiojulikana.wasiotaka kukosolewa
 
Sio kijijini pamechangamka kiasi chake sababu kuna wafanyabiashara wa mbao msimu wa korosho mbaazi ufuta.nilijichanganya na dada wa huko Nurse mmoja anaitwa Tatu hatari kaka kila w end lzm niende Masasi au tukutane Lindi.
Atakuwa wa mkomaindo huyo nurse?
 
Mkuu km wewe ni Me usijaribu kumchukua dada wa kimasasi utamuacha mkeo mwenzio nimeponea kwenye tundu la sindano usijarabu Tanga hawaingii kwa wadada wa masasi ni mafundi haijapata toka toka Dunia kuumbwa
Mm mwenywe huko nlikutana nae hapa dar bado nusu nifie gest aiseee wanajua kutoa mzigo. Kwa moyo hatar
Mpaka nikapiga mayoweee
Uwiiiiiii
 
Usithubutu kwenda kwenye vile vi grosary pale nyuma ya stendi ya mabasi .wenyewe wanapaitaga uwanja wa fisi
 
Back
Top Bottom