GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa kwa Dirisha hili Dogo labda itokee tu kwa Msimu ujao.
Hivyo basi niwaombe Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally 'Kispika' haraka sana Wawaambie ukweli huu Mchungu wana Simba SC ili wasiendelee Kuathirika zaidi Kisaikolojia kwa Kumtegemea Manzoki ambaye si tu haji bali hana hata hamu na Simba SC kwa sasa.
Nasisitiza tu Manzoki haji Simba SC.