GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na ukweli ndiyo huo GENTAMYCINE nimewapeni tena nikiwa na uhakika nao kwa 100% zote.Bora tujue ukweli
GENTAMYCINE sijakubali na sijaupenda Usajili wake Saido Ntibanzokinza kwani sioni huo Msaada wake kwa Simba SC kwani ni Mzee na nilimjua tokea mwaka 2003 katika Michuano ya Vijana ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha alikocheza Fainali akiwa na Mkongwe mwingine ndani ya Simba SC Erasto Edward Nyoni.Manzoki wa nini wakati tumeshasajili world class player aliyecheza ligi kuu ya ufaransa na kukabwa na kina mbape na messi??
Saido ntibazonkiza ndio suluhisho letu na anatosha na tumefunga usajili..
Sasa mkuu fungu la usajili hakuna tufanyeje?GENTAMYCINE sijakubali na sijaupenda Usajili wake Saido Ntibanzokinza kwani sioni huo Msaada wake kwa Simba SC kwani ni Mzee na nilimjua tokea mwaka 2003 katika Michuano ya Vijana ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha alikocheza Fainali akiwa na Mkongwe mwingine ndani ya Simba SC Erasto Edward Nyoni.
Kwani hao wachezaji ndo ubingwa?? Tulia redio ubingwa unapatikana hata wakicheza kina Nyoni..hujaona ubingwa ulienda Argentina japo Mbape alikiwasha?Wakati Yanga Wana husishwa na Bobos na Fabrice Ngoma Simba wanasajili kibabu Saidoo na bado Simba wanautamani ubingwa.
Uwa najiuliza hivi awa mbumbumbu fc wako serious kweli?
Wewe hutonielewa, watu wa mpira tu ndio wanaelewa nilicho andika wewe endelea kula Raha za kuwa shabiki.Kwani hao wachezaji ndo ubingwa?? Tulia redio ubingwa unapatikana hata wakicheza kina Nyoni..hujaona ubingwa ulienda Argentina japo Mbape alikiwasha?
Ni kweli.....ila huenda huyu jamaa angeongeza kitu kwenye safu ya ushambuliajiWachezaji hyped mara nyingi hawaleti kilicho bora
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Usichukulie serious kila kitu utakufa mapema..sio kwamba sijakuelewa ila nilitaka tuu kukutoa kwenye angle yako..sisi mashabiki hatuchukulii kila kitu venye mnachukuliaWewe hutonielewa, watu wa mpira tu ndio wanaelewa nilicho andika wewe endelea kula Raha za kuwa shabiki.
Kunatofauti kubwa ya shabiki na watu wanao fahamu mpira.
Mkuu inasikitisha sana, mi shabiki wa Simba lakini hili swala la Manzok linaumiza kichwa sana mashabiki. Binti wa Gonzalez alishapenyezewa na manager wa Manzok kuwa dogo kapewa mpunga mrefu haiwezekani kuvunja mkataba wake, hiyo hela ifanye mambo mengine lakini bado Simba ikatoa hela ya acommodation kwa nani yule...eti kwenda China kuongea nae na kushangaa magorofa.😣Kutokufuatwa ushauri wa binti wa Gonzalez akaamua kujiuzulu.Si mlisema anaipenda simba kuliko anavoipenda pesa. Imekuaje tena??
Ninyi ndio watu mnaoiharibia Simba.GENTAMYCINE sijakubali na sijaupenda Usajili wake Saido Ntibanzokinza kwani sioni huo Msaada wake kwa Simba SC kwani ni Mzee na nilimjua tokea mwaka 2003 katika Michuano ya Vijana ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha alikocheza Fainali akiwa na Mkongwe mwingine ndani ya Simba SC Erasto Edward Nyoni.
Yusuph Bakheresa kahamia kwa Chama.Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa kwa Dirisha hili Dogo labda itokee tu kwa Msimu ujao.
Hivyo basi niwaombe Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally 'Kispika' haraka sana Wawaambie ukweli huu Mchungu wana Simba SC ili wasiendelee Kuathirika zaidi Kisaikolojia kwa Kumtegemea Manzoki ambaye si tu haji bali hana hata hamu na Simba SC kwa sasa.
Nasisitiza tu Manzoki haji Simba SC.
Huyo kibabu mnayemuita kuna mchezaji wa utopolo yeyote kijana aliyemzidi takwimu za magoli na assist G/A mpk sahv? Saidoo n addition nzuri Kwa Simba ..Kwanza ana uzoefu na ligi tiyari na tokea amekuja Tanzania mpk sasa ana takwimu nzuri za goals and assists kuliko hata hao vijana wenu WA hapo utopoloniWakati Yanga Wana husishwa na Bobos na Fabrice Ngoma Simba wanasajili kibabu Saidoo na bado Simba wanautamani ubingwa.
Uwa najiuliza hivi awa mbumbumbu fc wako serious kweli?