Leo namaliza rasmi Utata wa Manzoki kuja Kuichezea Simba SC Dirisha hili Dogo

Tangu July 2022 nilijua hili halitawezekana January2023.
 
Kama jamaa angekuja basi angecheza kwa presha sanaaaa,na kungekuwa na shida kwenye timu manake ashakuwa staa kabla hata ya kujiunga ma timu,aendelee tu na timu yake huko china
 
Wakati Yanga Wana husishwa na Bobos na Fabrice Ngoma Simba wanasajili kibabu Saidoo na bado Simba wanautamani ubingwa.
Uwa najiuliza hivi awa mbumbumbu fc wako serious kweli?

Kwa akili yako bobosi na ngoma wanaweza kuja kinyesini?
 
Wewe hutonielewa, watu wa mpira tu ndio wanaelewa nilicho andika wewe endelea kula Raha za kuwa shabiki.
Kunatofauti kubwa ya shabiki na watu wanao fahamu mpira.
Kipindi mnamsajili nyinyi mlikuwa hamuutaki ubingwa?mtu wa mpira hawezi comment hivi,wewe ni oya oya tu kama wengine...

Nitumie connection mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…