Leo namalizia rasmi Unujumu / utabiri wangu wa uhakika juu ya Simba SC na Ubingwa wa NBC Premier League

Ili uwe utabiri unabidi utuambie msimu huu bingwa ni nani na sio kukisia.

Tarehe 8 tukimfunga yanga automatically tutakuwa tuna nafasi kubwa ya kuwa bingwa coz tutakuwa tumemalizana na timu ngumu na sumbufu(yanga+azam), na tutakuwa tumebakiza mechi 1 tu away dhidi ya kengold na kwa timu zitakazobakia hakuna wa kutusimamisha. Yanga atakuwa bado hajamalizana na azam,coastal na tabora timu ngumu na sumbufu.

Na yanga atakua na mechi nyingi ngumu away.
 
Uchawi
Ulozi
Wanga
Mzee wa busara
Masolosolo
Tambitambi
Zikabwe
 
Ukiachana na ushirikina ,yanga atamfunga simba Tena,vinginevyo nafuu yake atafute sare ndio nafuu ya simba
 
 
Hata sio ngumu kutabiri, ubingwa mwaka huu utaamuliwa na mechi ya Derby, atakaeshinda ni bingwa huyo
 
Mkuu mechi za away baada ya mechi na yanga, zitakuwa zimebakia mbili na siyo moja, kengold na jkt nafikiri
 
Mkuu mechi za away baada ya mechi na yanga, zitakuwa zimebakia mbili na siyo moja, kengold na jkt nafikiri
Jkt ni ndani ya daslam nazungumzia nje ya daslam japokuwa upo sahihi.
 
Sasa unasema tuwekeze nguvu. Weka utabiri/unujumu wako sepa.
 
SAUTI inatoa VILAZA sana
Kumbe TANZANIA kuna Chuo Kikuu kiitwacho SAUTI? Nilikuwa sijui halafu kila Siku huwa nasema hapa JamiiForums kuwa ukijijua HUNA AKILI usipende sana Kuchangia kwani ni Kujidhalilisha tu hamsikii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…