NEXTLEVEL
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 857
- 396
Huyu Monicca naye jipu yaani siku ya 7 tu toka kufunga ndoa anasema hayo kweli, ila itakuwa anatutia ndimu hakuna cha ndoa wala nini mbona hata picha ziiiiii!!!Kweli Kali ya mwaka hii
Alishasema Shem yuko humu JF akiona comment hiyo atajisikiaje jamani mmmmh makubwa.