Huyu Monicca naye jipu yaani siku ya 7 tu toka kufunga ndoa anasema hayo kweli, ila itakuwa anatutia ndimu hakuna cha ndoa wala nini mbona hata picha ziiiiii!!!Kweli Kali ya mwaka hii
Hapo mbuzi kwenye gunia mkuuHuyu Monicca naye jipu yaani siku ya 7 tu toka kufunga ndoa anasema hayo kweli, ila itakuwa anatutia ndimu hakuna cha ndoa wala nini mbona hata picha ziiiiii!!!
Alishasema Shem yuko humu JF akiona comment hiyo atajisikiaje jamani mmmmh makubwa.
Umefurahi nyama ile kufungua gunia kumbe kambwa lolHapo mbuzi kwenye gunia mkuu
hahahaha anaraha gani huyu mfumaniwa hana hamuHongera sana bibie.... lazima nitimbe maeneo hayo leo.
Vipi mtu wetu atakuwepo?? "mfumaniwa"
Hakuna ndoa wala nchaiHuyu Monicca naye jipu yaani siku ya 7 tu toka kufunga ndoa anasema hayo kweli, ila itakuwa anatutia ndimu hakuna cha ndoa wala nini mbona hata picha ziiiiii!!!
Alishasema Shem yuko humu JF akiona comment hiyo atajisikiaje jamani mmmmh makubwa.