Sasa unataka uulizwe nini huku umeshatuwekea mipaka ?!.Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi na pia ningependa niweke wazi kuwa sitataja jina langu wala sehemu ninayofanyia kazi
Nimekuwa member humu tangu JF imeanzishwa na nimepitia mengi sana na nimejifunza vingi sana humu. Nina Imani nina cha kusema na baadhi ya watu nadhani wanapenda kujua kuhusu mimi. HivyoUnaomba uulizwe chochote lakini bado hutaki kutaja jina na sehemu unayofanyia kazi. Je hivyo navyo sio chochote?
Anyways. Yapo mengi yakuulizwa utaulizwa.
Mimi naanza.
Swali: Kwanini umeanzisha huu uzi? Kwanini unataka watu wafahamu kuhusu wewe?
Yaweke wazi ili tupate maswali ya kujengana . Otherwise uzi umekosa maanamengine mengine
Asalaam.
Sawa mkuu.Nimekuwa member humu tangu JF imeanzishwa na nimepitia mengi sana na nimejifunza vingi sana humu. Nina Imani nina cha kusema na baadhi ya watu nadhani wanapenda kujua kuhusu mimi. Hivyo
Shkamoo baba.