Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Unaomba uulizwe chochote lakini bado hutaki kutaja jina na sehemu unayofanyia kazi. Je hivyo navyo sio chochote?

Anyways. Yapo mengi yakuulizwa utaulizwa.

Mimi naanza.

Swali: Kwanini umeanzisha huu uzi? Kwanini unataka watu wafahamu kuhusu wewe?
 
Nimekuwa member humu tangu JF imeanzishwa na nimepitia mengi sana na nimejifunza vingi sana humu. Nina Imani nina cha kusema na baadhi ya watu nadhani wanapenda kujua kuhusu mimi. Hivyo
 
Back
Top Bottom