Kwa hio wewe ni.....?Hapana
Jamani mpenzi nimeutesa na nini?[emoji23]Wewe hapo wautesa moyo wangu...
Ndioo, kumbe tuliachana?[emoji134]Khaaaa.
My umesahau ee, sawa tu
Ndio my, nilishindwa kukuvumilia my wanguNdioo, kumbe tuliachana?[emoji134]
Mweeeh kunivumilia na nini?jamani wanaume nyinyi[emoji57][emoji24][emoji24][emoji24]Ndio my, nilishindwa kukuvumilia my wangu
Nimezaliwa mwaka 1976 nina elimu ya masters nina mke na watoto watatu. Ni mwajiriwa na pia ni mjasiriamali na mkulima. Maisha yangu namshukuru Mungu yanaenda vizuriHistoria yako fupi ya Elimu na Maisha yako kwa ujumla utueleze.