Cyrill rogath
Member
- Mar 7, 2019
- 6
- 3
Namaana nataka kujua shilingi 10 ya china nishingapi ya tanzania?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China hawatumii shilingi statement sahihi ni yuani 10 ambayo kwa rates za leo saa saba mchana ni shiling za tanzania 3488.10Namaana nataka kujua shilingi 10 ya china nishingapi ya tanzania?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah...Shilingi 1 ya China sawa na Shilingi 350 za Bongo, hivyo ;Namaana nataka kujua shilingi 10 ya china nishingapi ya tanzania?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah..ukiwa Gwanzu...unapata pepsi 2 baridi na chenji inarudi...au tambi kavu Kama ukilialia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo yuan 10 unaweza kununua chakula?
Njia zote mbili hutumiwa kwenye malipo, cash na za ki_electronicMalipo yake unalipaje ukiwa china,ni cash au electronic.