Leo naombeni kujifunza gharama za kifedha nchini china

Leo naombeni kujifunza gharama za kifedha nchini china

hilingi 10 ya china nishingapi ya tanzania?
TZS 3,400
1553498414504.png
 
Namaana nataka kujua shilingi 10 ya china nishingapi ya tanzania?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah...Shilingi 1 ya China sawa na Shilingi 350 za Bongo, hivyo ;
Shilingi 10 za China zitakuwa sawa na
10 x 350 = Shilingi 3,500 za Bongo[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Malipo yake unalipaje ukiwa china,ni cash au electronic..
Hakuna pesa bandia huko uchina
 
Back
Top Bottom