mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 207
- 481
Wakuu jana nimefika hapa kwa dada yangu ambaye ameolewa nikitokea kwetu huko mikoani. Kusema kweli ujio wangu uliwafurahisha hasa shemeji yangu ambaye kila siku alikuwa analalamika kwa Nini siwatembelei. Tuliongea mambo mengi sana hasa kuhusu maisha.
Basi, baada ya maongezi nikaonyeshwa chumba changu Cha kulala ambacho kipo ndani ya hiyo nyumba hata wenyewe wanalala humohumo. Ilipofika kama saa Saba hivi usiku nikaanza kusikia kilio Cha mahaba Cha dada yangu.
Yaani dada yangu amefanywa mbele yangu imeniuma Sana na dada bila aibu anatoa sauti zote hizo. Silali tena hapa naondoka nyumba yenyewe Haina bodi. Jamani siwezi mvumilia kilio Cha dada tena naondoka. Na wew shemeji kuwa na nidhamu ulishindwa kuvumilia siku mbili ambazo nilikuwa nimepanga kukaa kwako.