Leo naondoka kwa shemeji hata wanibembeleze vipi

Kwa huu uzi unataka tukupe ushauri au umetupa tu taarifa?
 
Hama haraka sana, usisubiri hadi shemeji akufuate na pajama kama naniliu alivyomfuata nanihii🐼
 
Daaaa....zile kelele ni za aibu kama dada yako au ndugu karibu....ndio uondokeee
 
Shemeji akaenjoiii
GgbOG0-aEAAMsKN.jpg
 
Wakuu jana nimefika hapa kwa dada yangu ambaye ameolewa nikitokea kwetu huko mikoani. Kusema kweli ujio wangu uliwafurahisha hasa shemeji yangu ambaye kila siku alikuwa analalamika kwa Nini siwatembelei. Tuliongea mambo mengi sana hasa kuhusu maisha.

Basi, baada ya maongezi nikaonyeshwa chumba changu Cha kulala ambacho kipo ndani ya hiyo nyumba hata wenyewe wanalala humohumo. Ilipofika kama saa Saba hivi usiku nikaanza kusikia kilio Cha mahaba Cha dada yangu.

Yaani dada yangu amefanywa mbele yangu imeniuma Sana na dada bila aibu anatoa sauti zote hizo Hadi Mimi nikandisha.silali tena hapa naondoka nyumba yenyewe Haina bodi.jamani siwezi mvumilia kilio Cha dada tena naondoka. Na wew shemeji kuwa na nidhamu ulishindwa kuvumilia siku mbili ambazo nilikuwa nimepanga kukaa kwako.
Ungewaambia sijalala 😂😂😂 walijua umelala wakajiachia
 
Kijana wa hovyo kama unadindisha kwa dada Yako basi hushindwi kumla shangazi Yako pambaf. Eeh nimesahau kumshukuru Samia . Namshukuru mama Samia kwa kunisaidia kuteseka na kununua bando la kuandika ushenzi
 
Back
Top Bottom