Leo naondoka kwa shemeji hata wanibembeleze vipi

Kwa huu uzi unataka tukupe ushauri au umetupa tu taarifa?
 
Hahah,. Ila kuna watu hamjai kuwa serious
 
Hama haraka sana, usisubiri hadi shemeji akufuate na pajama kama naniliu alivyomfuata nanihii🐼
 
Daaaa....zile kelele ni za aibu kama dada yako au ndugu karibu....ndio uondokeee
 
Vitoto vya 2000 kichwani zero kabisa
 
Ungewaambia sijalala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ walijua umelala wakajiachia
 

Kijana wa hovyo kama unadindisha kwa dada Yako basi hushindwi kumla shangazi Yako pambaf. Eeh nimesahau kumshukuru Samia . Namshukuru mama Samia kwa kunisaidia kuteseka na kununua bando la kuandika ushenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…