Leo Nape anaupiga mwingi...

Leo Nape anaupiga mwingi...

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?

Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?

Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?

Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.

Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
 
Kwani ubaya wa Nape kutaka uchunguzi wa hiyo mikopo na matumizi yake upo wapi?

Kwanini asihoji matumizi na thamani ya miradi iliyofanyika?

Wacheni huo unafiki wenu kisa legacy,hakuna legacy ya kulazimisha hapa duniani.
 
Jinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.
Mjinga ni wewe unayetetea maovu ya mwendazake na kwa taarifa tu ni kwamba tayari taratibu zimeanza kuandaliwa ili tume ianze kuchunguza mikopo yote aliyo ichukua na value for money kwenye miradi.
 
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?

Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?

Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?

Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.

Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
kuna ubaya gani kutaka kufahamu fedha fulani zilitumikaje ni moja ya kazi ya wabunge kuhoji ili kujiridhisha
 
Kama ni kuishiwa watu smart basi ni ccm ndiyo wamebakia na makapi tupu ndiyo maana hata viongozi wanalazimika kuwateua wapinzani ili kwenda kuokoa jahazi.
Mtu akiteuliwa anabaki kuwa mpinzani?
Ukiingia twitter ni matusi na porojo tu vijana wapya wenye akili hawajiungi
na chadema sku hizi ndio maana akiondoka mtu hamna wakuziba pengo
 
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?

Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?

Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?

Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.

Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
Nape ilimbidi tu aombe "msamaha" kwa shingo upande ili kunusuru maisha yake kwenye utawala wa kidikteta.
 
wapinzani wana tabia za kimalaya malaya (kwa sauti ya nyerere)

Back
Top Bottom