Leo Nape anaupiga mwingi...

Leo Nape anaupiga mwingi...

Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?

Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?

Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?

Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.

Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
Wanafurahia Nape kumshambulia Magufuli utadhani hilo linawapa credit kwa watanzania. Ni kama Lissu alivyoanzaga kumshambulia Nyerere wakati fulani, tukakangalia kale kamtu kanavyoshambulia baba wa taifa tukakadharau kimya kimya.

Nape tunamchora tu.
 
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?

Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?

Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?

Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.

Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
Acha kuhangaika kutetea legacy ya mtu hovyo kama yule
 
Haya mambo ya hovyo sana, unashadadia mwezio kadokoa nyama wakati midomo yako imejaa mafuta ya vitumbua ulivyokwiba kwa mama ntilie...
 
Wewe
Kwani ubaya wa Nape kutaka uchunguzi wa hiyo mikopo na matumizi yake upo wapi?

Kwanini asihoji matumizi na thamani ya miradi iliyofanyika?

Wacheni huo unafiki wenu kisa legacy,hakuna legacy ya kulazimisha hapa duniani.
ndiye Chawa na mnafiki,
Miaka yote mitano ya MAGUFULI alikuwa wapi asihoji?
 
Ninacho kiona kwenye post yako ni muendelezo wa kulazimisha Magu asihojiwe kwa aliyo yafanya.

Ninacho amini ni kuwa hakuna binadamu aliye kamilika kwa 100%.

Sasa nyinyi mnapata wapi ujasili wa kumfananisha huyo mtu wenu na malaika?

Zilipigwa 1.5trillion hamkusema chochote utadhani midomo yenu imepigwa daflao.

Muwacheni mh Nape ateme nyongo zake.
Wewe ndio kijakazi wa Nnape sio?

Kwanini iwe sasa na sio wakati matendo yanafanyika?

Unamhoji mfu atakujibu kitu gani?

Kwanini usimhoji raisi wa sasa, makamu wake na waziri mkuu ambao ndio walikuwa sehemu ya utawala huo huo?

"Biased questioning without moral authority"
 
Tatizo lako umetawaliwa na mihemuko.

Niwapi mh Nape amesema ahojiwe marehemu?

Amesema iundwe kamati kuchunguza jinsi mikopo iliyo chukuliwa kimya kimya na mwendazake.

Kwani kuna ubaya gani kuchunguzwa?
Kwa taarifa yako anayekufa ni binadamu tu bali serikali ipo milele.
 
Wewe ndio kijakazi wa Nnape sio?

Kwanini iwe sasa na sio wakati matendo yanafanyika?

Unamhoji mfu atakujibu kitu gani?

Kwanini usimhoji raisi wa sasa, makamu wake na waziri mkuu ambao ndio walikuwa sehemu ya utawala huo huo?

"Biased questioning without moral authority"
Piga glass ya limao na ukajifukize labda hasira na kisirani kitapungua
 
Wewe ni punguani unashabikia kitu usichokijua....pilipili usiyoila inakuwashia nini? Tayari umetamka mwendazake ni nani huyo?

Usiendelee kuleta ujinga wenu mtaangamia ohooh
 
Upinzani huwa mnakuwa wagumu sana kuelewa...
Sasa hapo Nape atabadilisha nini?
ccm ni wale wale hapo wanachofanya huku nje mseme bunge linafanya kazi
Ni show tu hiyo hakuna lolote..
Okay wakiichambua waone makosa au wizi tuseme na majina yakawekwa hadharani then what?
Watatajana wataumbuana at the end of the day hakuna wa kumshutaki mwenzie..
Katiba Mpya ndio jibu otherwise ni kutwanga maji kwenye kinu

Punguzeni kusifia watesi wenu
Huyu Nape anapost vijembe kuhusu Mh. Mbowe na kesi iliyo mbele yake
Huku mnakuja kumpongeza anaupiga mwingi
Wanawaambia yale ya kuwacuruga
Nape hana zuri naye ni wale wale

Wengine hatuna vyama Taifa Kwanza
 
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?

Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?

Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?

Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.

Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
Ni kweli Sabaya hakuwahi kuwa mnafiki!
 
Chadema ni Kama wale wanyama wanaoitwa nyumbu.chadema unaweza ukawapoteza kiurahisi sana,we waonyeshe katabasamu kadogo tu,au wape kaumbea kadogo tu kakinafiki ,tayari unawanasa kiuuuraiiiiiniiiiii.....
 
Back
Top Bottom