Leo napewa connection ya kutoboa maisha

Leo napewa connection ya kutoboa maisha

Kumbe ni rahisi ivyo kwanini hukusema siku zote hizo wewe farao 😄!!
nimehangaika na waganga mpk huko Kivu
 
Mjomba wangu ambae amesoma mpaka darasa la nne huko mkoani Tabora mwenye akaja Dar es Salaaam kama bodaboda ila mpaka Leo ana

Mwenye V8 3
Toyota Hilux 3
Harrier 2
Alteza 1

Scania za mchanga 56
Costa za abiria 25
Nyumba 16 Dar es Salaam
Nyumba 7 Tabora
Hotel moja Arusha.

Zaidi ya hekari 600 Dodoma, Mbeya, Morogoro na Kigoma

Mwenye mama na watoto
Mwenye kila aina ya nguo.

Ila aliwahi kuniambia nisihofie kupoteza maisha kwani Kuna maisha mengine matamu zaidi haya ya duniani.

Amesema Leo ananipa namba ya simu ya Mzee Kalebonesha kutoka Tanga..
So Mzee Huyu atanipokea kama mwanae.

Haya Naomba chawa.
Naomba viherehere naenda kutoboa

Matusi ruksa Mungu yupo!!! Swali ulimuona wapi???

Uchawi upo nimeona mafaniko ya ndugu yangu kupitia uchawi...

Endelea kuishi kwa lugha ya kufikirika
huyo mzee yeye hana magari na utajiri huo, ila wewe unaenda ili akupatie utajiri. akili au matope hayo? au wewe ni mganga wa kienyeji unatafuta mtu wa kula kichwa?
 
Mjomba wangu ambae amesoma mpaka darasa la nne huko mkoani Tabora mwenye akaja Dar es Salaaam kama bodaboda ila mpaka Leo ana

Mwenye V8 3
Toyota Hilux 3
Harrier 2
Alteza 1

Scania za mchanga 56
Costa za abiria 25
Nyumba 16 Dar es Salaam
Nyumba 7 Tabora
Hotel moja Arusha.

Zaidi ya hekari 600 Dodoma, Mbeya, Morogoro na Kigoma

Mwenye mama na watoto
Mwenye kila aina ya nguo.

Ila aliwahi kuniambia nisihofie kupoteza maisha kwani Kuna maisha mengine matamu zaidi haya ya duniani.

Amesema Leo ananipa namba ya simu ya Mzee Kalebonesha kutoka Tanga..
So Mzee Huyu atanipokea kama mwanae.

Haya Naomba chawa.
Naomba viherehere naenda kutoboa

Matusi ruksa Mungu yupo!!! Swali ulimuona wapi???

Uchawi upo nimeona mafaniko ya ndugu yangu kupitia uchawi...

Endelea kuishi kwa lugha ya kufikirika
Subiri kwanza, ebu toa location vizuri ya mzee sio lazima turundikane inbox bhana
 
kuna jamaa angu kauza duka lake na vitu kibao vya ndani kwaajili ya hayo mambo na bado kaambulia patupu, kaamua kumrudia Mungu tu
Uyo kakutana na mapeli wa buguruni...Hakuna mganga uende kufuata mali za mashariti akudai fedha kabla hujafanikiwa...wengi wanaochukua mali za mashariti ni kwakua wamejikatia tamaa na hata Kula yao ni changamoto,hawana msaada hivo wanaona hawana Cha kupoteza
 
mwenzake kafanikiwa hilo jambo yeye kasacrifice vitu vyake lakini kafeli, ni hao wazee wa Tunduma wakutengeneza elfu tano au 10 kua jini lapesa
 
Ndugu zangu...tatizo la afya ya akili......
Tupo chit chat and jokes
 
Back
Top Bottom