Leo natafuta Wimbo wa Jux wa Sisikii wenye mdada

Leo natafuta Wimbo wa Jux wa Sisikii wenye mdada

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Nyimbo inaitwa SISIKII ila sio ile yenyewe.

Hii kuna na sauti ya mdada, yaani Jux mwenyewe anaimba alafu na mdada anaimba pia nyimbo ni ileile ya Jux sisikii.

Sijui ndio mnasemaga cover sijui ndio remix sijui ndio karoekore misijui tena.
 
Back
Top Bottom