Leo nataka kuwatega!!!!

Leo nataka kuwatega!!!!

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
405
Reaction score
17
Kitendawili?

Siwaoni, siwasikii, siwafahamu ila tuko beneti???
 
hutaki niombe mji kaka Geooooooffffff???????Nataka mji.... nataka mji
 
hehehe!unajua sool bradha kitendawili chako hakipo klia
 
Nakupa mji: Manzese
Haya tupe jibu.

ndo jografia yako ya msingi ilivokufundisha .....

BTW: hizi mambo za siasa si taboo kwenye ukoo wetu sasa wewe utagombea kama mgombea huru au???
 
ndo jografia yako ya msingi ilivokufundisha .....

BTW: hizi mambo za siasa si taboo kwenye ukoo wetu sasa wewe utagombea kama mgombea huru au???

Mi sigombei. Nimetunukiwa.
Fuata mtiririko wa uzi vizuri.
BTW how are you mamushka?
 
Mi sigombei. Nimetunukiwa.
Fuata mtiririko wa uzi vizuri.
BTW how are you mamushka?

ooh yeah bold is noted

mamushka is not happy this morning as she slept bila kusikia neno la kiblurei cha kimangi.....
 
ooh yeah bold is noted

mamushka is not happy this morning as she slept bila kusikia neno la kiblurei cha kimangi.....

Hahaha! Mchape bakora Pako. Hana adabu! Pako ana mafua na kikohozi. Muda si mrefu ataanza kubanja.LOL!
 
mamushka is not happy this morning as she slept bila kusikia neno la kiblurei cha kimangi.....

Jamani hane kumbe upo hata salamu? Nini nimekukosea jamani dia?
 
Hahaha! Mchape bakora Pako. Hana adabu! Pako ana mafua na kikohozi. Muda si mrefu ataanza kubanja.LOL!

Pole Pako!!! Get well soon!!!

Soul braza mbona hasemi kama ameukubali mji wa manzese au hataki....tunataka jibu
 
Back
Top Bottom