Leo nataka kuwatega!!!!

Leo nataka kuwatega!!!!

Pole Pako!!! Get well soon!!!

Soul braza mbona hasemi kama ameukubali mji wa manzese au hataki....tunataka jibu
Naona hapendi Manzese.
Ngoja nimpe mwingine: Kambi ya Fisi.
Na wewe mpe mji Mamushka.
 
Naona hapendi Manzese.
Ngoja nimpe mwingine: Kambi ya Fisi.
Na wewe mpe mji Mamushka.

hahaaa Kingusero, soul braza chukua huo tena wote wote...

achana na kambi ya fisi kuna mifupa huko....
 
Naona wapwazi kweli jamaa amewatega mnahaha huku na kule kumpa mji hahahaha lengo lake ndo hilo.
 
Mara Urusi, kambi za fisi...miji imewashinda na kitendawili pia kimewashinda...
 
Sio kambi ya fisi ni Uwanja wa fisi pale kila kitu unapata.
Naona leo umenikaushia kabisa.

dar kina uwanja wa fisi

kwetu a town tuna kambi ya fisi, upo hapo???
 
Jibu: watoa maoni, wajibu maoni humu JF
 
Back
Top Bottom