Leo nataka mje mtuambie Sasa Kati ya Pacome na chama Nani mkali? Na Nani ni mrithi wa chama pale Simba

Apo kila kigezo alichoweka chama yuko juu mbali mno kuliko pacome.
Subiri apangwe kwenye mechi ngumu utamkataa huyo Chama. Mechi ngumu mpe Pacome atakusaidia angalia Medeama, Belli na Al Ahly walivyotepeshwa na Pacome.
 
Hizo takwimu umeweka kimapenzi tu sio uhalisia.
Eti kontloo, shooting na displine useme Pakome amzidi chama. Utakuwa hujui mpira.

Kwenye shooting angalia accuracy sio kubutua tu. Usahihi wa kushoot hakuna wa kumsogelea Chama.
Kontloo kaka chama sio wa kumfananisha na pakome. Afrika nzima humpati mtu kama chama. Kontroo ni kuonesha mpira unavyokutii tu. Hakuna mbuzi yoyote wa kumllinganisha na chama hapo. Ukija displine sijui umetumia kigezo kipi ata sielewi.
 
Pakome kacheza mechi kubwa ngapi na chama ngapi. Chama ama kasist au kufunga karibu kila alipocheza dhidi ya wakubwa wote.
Na takwim za chama ni kubwa kwa mechi za CAF.
 
Hatutaki porojo embu leteni statistics za chama na pacome huko CAF ndio tutajua nani bora
Pacome ana magoli mangali CAF champions
Pacome ana assist ngapi CAF champion
Pacome ana magoli mangapi mechi kubwa huko CAF champions na Assist

Chama ana magoli mangapi CAF champions
Chama ana assist ngapi CAF champions
Chama ana magoli mangapi na assist ngapi CAF champion katika mechi kubwa

Hapa ndio tutajua nani bora aya mwenye data aweke
 
Makolo wanalazimisha Chama awe bora kuliko Pacome!
 
Chama kacheza mashindano ya CAF kwa muda mrefu tokea msimu wa 2016 huku Pacome akianza kucheza mashindano ya CAF msimu wa 2022/2023 akiwa na Asec Mimosa.
Takwimu zao ni kama ifuatavyo:

Chama
Msimu wa 2016 (Zesco united)
Jumla ya goli 2
Mwanawasa vs Al Ahly (2)
Msimu wa 2017/2018
Jumla ya goli 0

Msimu wa 2018/2019 (Simba sc)
Jumla goli 1
Mkapa vs As Vita (1)

Msimu wa 2020/2021
Jumla ya magoli 3
Mkapa vs As Vita (2)
Mkapa vs Kaizer Chiefs (1)

Msimu wa 2021/2022
Jumla ya magoli 0

Msimu wa 2022/2023
Jumla ya magoli 4
Mkapa vs Vipers (1)
Mkapa vs Horoya (3)

Msimu wa 2023/2024
Jumla ya magoli 1
Mkapa vs Galaxy (1)

Assists Chama
2023/2024 assist 1
2022/2023 assist 1
2021/2022 assist 0
2020/2021 assist 2
2019/2020 assist 0
2018/2019 assist sina data

Pacome
Asec Mimosa msimu wa 2022/2023
Msimu wa 2022/2023 (Asec)
CAF Confederation cup goli 0
Caf Confederation assist 1

Msimu wa 2023/2024 (Young Africans)
Caf champions jumla ya magoli 3
Mkapa vs Al Ahly (1)
Away vs Medeama (1)
Mkapa vs Medeama (1)
Assist 1

N.B
Hizo stats ni kuanzia hatua ya makundi, mechi za hatua ya awali hazijajumuishwa.
 
Pakome kacheza mechi kubwa ngapi na chama ngapi. Chama ama kasist au kufunga karibu kila alipocheza dhidi ya wakubwa wote.
Na takwim za chama ni kubwa kwa mechi za CAF.
Chama kacheza misimu 9 ana goli 11 na assist 4 kwanzia hatua ya makundi.
 
kwa hyo ulitaka tumrambe miguu ili abaki simba?
Huo utumwa sisi hatuna
Kibu hamjalamba miguu,kwan ukisema mlilamba miguu ila akakataa kuna shida gani?makolo hadi leo hamjatoa release letter ya chama imekua aproved itself baada ya muda wa makolo kutoa hiyo barua kupita halafu unataka utudanganye hapa eti mlimuacha kiroho safi
 
Kilaza peke yako usituhusishe kwenye ukatuni wako, kumpima Chama kwenye mechi na timu mdebwedo kama Vital O ndiyo ukilaza wenyewe huo.
 
Uchambuzi haya wadau chambueni hapa nani bora au kama mnaangalia mwaka jana Basi Pacome kama all time basi Chama
 
Uchambuzi haya wadau chambueni hapa nani bora au kama mnaangalia mwaka jana Basi Pacome kama all time basi Chama
Ila mkuu mbona alichovuna ni kidogo sana kulingana na muda mwingi aliocheza michuano ya CAF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…