William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
- #21
Apo kila kigezo alichoweka chama yuko juu mbali mno kuliko pacome.Wenzako wanataka mtumie kigezo kimoja tu walichokichagua wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo kila kigezo alichoweka chama yuko juu mbali mno kuliko pacome.Wenzako wanataka mtumie kigezo kimoja tu walichokichagua wao
Subiri apangwe kwenye mechi ngumu utamkataa huyo Chama. Mechi ngumu mpe Pacome atakusaidia angalia Medeama, Belli na Al Ahly walivyotepeshwa na Pacome.Apo kila kigezo alichoweka chama yuko juu mbali mno kuliko pacome.
Hizo takwimu umeweka kimapenzi tu sio uhalisia.
- Assist - Chama
- Controll na chenga- Pacome
- Stamina na Ustahimilivu wa mikiki - Pacome
- Discipline - Pacome, ( Chama kuna muda anashindwa jicontroll hasira)
- speed - Pacome
- Kukaba - Pacome
- Kujiposition kwa mashambulizi na kuzuia - Pacome
- Shooting - Pacome
- Freekicks - Chama
- Mawasiliano - Chama
- ugumu wa mechi (mpinzani ni wa aina gani ?) - mechi ngumu Pacome anang'ara ni fighter, timu nyepesi Chama atakushangaza.
- Uwezo wa kuwasoma wapinzani kutambua udhaifu wao - Pacome anahitaji dakika chache kujua udhaifu ulipo, Chama anaweza tumia kipindi cha kwanza au zaidi, huwa ni mzuri zaidi kipindi cha pili na mechi za second leg.
Wote ni wazuri, ni baadhi ya vitu wanatofautiana ambavyo wakicheza pamoja wanaifanya timu iwe tishio zaidi.
Pakome kacheza mechi kubwa ngapi na chama ngapi. Chama ama kasist au kufunga karibu kila alipocheza dhidi ya wakubwa wote.Umesahau tu kumalizia kuwa mechi kubwa mpe Pacome acheze, ila mechi nyepesi mpe Chama acheze. Pacome kwenye mechi kubwa hawezi kukuangusha, Al Ahly, Medeama na Belouizdad wanajua shughuli yake. Leo watu wanamuimba Chama, Chama lakini wanashindwa kuangalia Chama kang'ara vs mpinzani wa aina gani?
Chama kacheza mashindano ya CAF kwa muda mrefu tokea msimu wa 2016 huku Pacome akianza kucheza mashindano ya CAF msimu wa 2022/2023 akiwa na Asec Mimosa.Hatutaki porojo embu leteni statistics za chama na pacome huko CAF ndio tutajua nani bora
Pacome ana magoli mangali CAF champions
Pacome ana assist ngapi CAF champion
Pacome ana magoli mangapi mechi kubwa huko CAF champions na Assist
Chama ana magoli mangapi CAF champions
Chama ana assist ngapi CAF champions
Chama ana magoli mangapi na assist ngapi CAF champion katika mechi kubwa
Hapa ndio tutajua nani bora aya mwenye data aweke
Chama kacheza misimu 9 ana goli 11 na assist 4 kwanzia hatua ya makundi.Pakome kacheza mechi kubwa ngapi na chama ngapi. Chama ama kasist au kufunga karibu kila alipocheza dhidi ya wakubwa wote.
Na takwim za chama ni kubwa kwa mechi za CAF.
Kibu hamjalamba miguu,kwan ukisema mlilamba miguu ila akakataa kuna shida gani?makolo hadi leo hamjatoa release letter ya chama imekua aproved itself baada ya muda wa makolo kutoa hiyo barua kupita halafu unataka utudanganye hapa eti mlimuacha kiroho safikwa hyo ulitaka tumrambe miguu ili abaki simba?
Huo utumwa sisi hatuna
Kilaza peke yako usituhusishe kwenye ukatuni wako, kumpima Chama kwenye mechi na timu mdebwedo kama Vital O ndiyo ukilaza wenyewe huo.Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi.
Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa.
Chama now sio mchezaji. Anaweza kuwa assistant coach au kocha kamili wa viungo washambuliaji na wafungaji.
Yule mnampeleka darasani anawafundisha viungo wote namna ya kulisha mipira ya magoli. Shabaha, speed na utulivu.
Nilitamani wote watoke Simba ila sio Chama. Chama angebaki ata baada ya kustaf soka awe assistant coach. Apewe mishahara miwili. Awafundishe akina Auwa na mukwala utulivu katikati ya sita.
Alimlisha phiri hakuamini. Oh... Bora aende. Njia aliyotokea Azam kimataifa ndio Simba atakayopitia msimu huu.
Uchambuzi haya wadau chambueni hapa nani bora au kama mnaangalia mwaka jana Basi Pacome kama all time basi ChamaChama kacheza mashindano ya CAF kwa muda mrefu tokea msimu wa 2016 huku Pacome akianza kucheza mashindano ya CAF msimu wa 2022/2023 akiwa na Asec Mimosa.
Takwimu zao ni kama ifuatavyo:
Chama
Msimu wa 2016 (Zesco united)
Jumla ya goli 2
Mwanawasa vs Al Ahly (2)
Msimu wa 2017/2018
Jumla ya goli 0
Msimu wa 2018/2019 (Simba sc)
Jumla goli 1
Mkapa vs As Vita (1)
Msimu wa 2020/2021
Jumla ya magoli 3
Mkapa vs As Vita (2)
Mkapa vs Kaizer Chiefs (1)
Msimu wa 2021/2022
Jumla ya magoli 0
Msimu wa 2022/2023
Jumla ya magoli 4
Mkapa vs Vipers (1)
Mkapa vs Horoya (3)
Msimu wa 2023/2024
Jumla ya magoli 1
Mkapa vs Galaxy (1)
Assists Chama
2023/2024 assist 1
2022/2023 assist 1
2021/2022 assist 0
2020/2021 assist 2
2019/2020 assist 0
2018/2019 assist sina data
Pacome
Asec Mimosa msimu wa 2022/2023
Msimu wa 2022/2023 (Asec)
CAF Confederation cup goli 0
Caf Confederation assist 1
Msimu wa 2023/2024 (Young Africans)
Caf champions jumla ya magoli 3
Mkapa vs Al Ahly (1)
Away vs Medeama (1)
Mkapa vs Medeama (1)
Assist 1
N.B
Hizo stats ni kuanzia hatua ya makundi, mechi za hatua ya awali hazijajumuishwa.
Ila mkuu mbona alichovuna ni kidogo sana kulingana na muda mwingi aliocheza michuano ya CAF?Uchambuzi haya wadau chambueni hapa nani bora au kama mnaangalia mwaka jana Basi Pacome kama all time basi Chama
Uwezo wake ndio umefika hapa hata hajafika level kubwa kama ya kina KalabaIla mkuu mbona alichovuna ni kidogo sana kulingana na muda mwingi aliocheza michuano ya CAF?
Sisi watu tunaojua mpira tulishasema Technically yanga hawana timu kitambo tuKiuchambuzi bila upendeleo technically yanga bado hawana timu