APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais wetu Mhe.Dr John Pombe Magufuli kuna mambo mengi imefanikiwa lkn Leo ningependa kuangazia eneo moja nalo ni;
Kupunguza matukio ya ujambazi katika nchi yetu.
Kwa sasa ni nadra sana kusikia basi au gari fulani limetekwa na abilia kuporwa kila kitu walichokuwa nacho katika nchi yetu.
Kwa namna ya pekee ningependa kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa IGP, Ma RPC wa mikoa yote ya Tanzania na Ma OCD wa wilaya zote na askari wote kwa kuimalisha ulinzi.
Pia niwapongeze raia wema wote wa nchi hii ukiwemo wewe unaesoma post hii ninawatakia jumapili njema wote.