Awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais wetu Mhe.Dr John Pombe Magufuli kuna mambo mengi imefanikiwa lkn Leo ningependa kuangazia eneo moja nalo ni;
Kupunguza matukio ya ujambazi katika nchi yetu kwa sasa ni nadra kusikia basi au gari fulani imetekwa na abilia kuporwa kila kitu walichokuwa nacho.
Kwa namna ya pekee ningependa kutoa pongezi zangu kwa Ma RPC wa mikoa yote ya Tanzania, Ma OCD wa wilaya zote na askari wote kwa kuimalisha ulinzi.Pia niwapongeze raia wema wote wa nchi hii ukiwemo wewe unaesoma post hii ninawatakia jumapili njema wote.