Leo Natimiza Miaka 2 Bila Kuangalia TBC 1

Leo Natimiza Miaka 2 Bila Kuangalia TBC 1

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele.

Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
 
Mi nina mwaka wa sita bila kutazama tv kwa ujumla, labda niende kwa mtu nikute wanaangalia,
 
Back
Top Bottom