Leo natimiza miaka 27

Kuna muda utaanza kutaja mwaka utaishia kutaja tarehe...!

Jitafakari unamiliki nini??
 
Sema kipindi hiki sio kizuri, mtu ana weza kufikiri umetimiza miaka 27 ya ush
 
Nakujibia kwa 27 birth day.
Kama ndivyo hakikiasha unamazingira mazur yatakakusadia kupata wife material Kama bado..Kama tayari uswali Sana. Ni umri wa kumuomba Mungu....

Kama unapiga bia 2 ,3 hakikisha huzidishi. Ulevi acha. Umalaya acha, wanga acha, ushamba acha kwa sababu unakiwa mtu mzima na focus yako inatakiwa iwnyooke.

Kaa mbali na Siasa. Jenga uchumi wako na familiar. Usisahau kushiriki Mambo ya kijamii. Tengemeza network yako...marafiki wenye focus ya maendeleo
 
Shukran Mkuu kwa ushaur mzuri, tofaut na watanzania walio shaur apo juu
 
Shukran Mkuu kwa ushaur mzuri, tofaut na watanzania walio shaur apo juu
Jaribu kuwa serious, watu wanajua miandiko, ukiwa unajaribu kudanganya watu wanavipaji humu.

Cha msingi ni wewe umeleta uzi ukikusudia nini, nimeamua kukupa unachistahili, sometime unastahili majibu yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…