Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Sample hapana haitokiTUNAOHITAJI SAMPLE JE?
Chini ya mil 5 unalipia sh 50,000Sawa ila wa mitaji chini ya million 5 hawaruhusiwi
Tumsubiri arudi ila ndio hivyo bure ghali!Naomba sample ya any business outline you have
Remimber :hiyo ni just sketch tu so usininyime ,implementation nitafanya mimi mwenyewe pia nataka nikachukulie hela bank
HapanaTuwekee sample Mkuu
Utakuwa umetuma sadaka ya kutosha kabisa
Hapana siwezi kukupa wazo la Bishara ukitaka nikupe wazo, itategemea na eneo, mazingira ya biashara hiyo, aina ya biashara na pesa ni za mkopo wa benki, au za kwako tu sio mkopo... kwa huduma ya kujua biashara utalipia ila business paln itakuwa bure. inbox ntaongea zaidimimi nina mtaji 15m ila sijui biashara ya kufanya
Chini ya mil 5 no, hapana wote wa mitaji chini ya mil 5 watalipa sh 50,000.Mm nahtaji ila mtaji wangu ni 1ml na sio biashara ya kusajili brela wala kuwa na leseni ni agrobusiness
Ufugaji wa kitimoto nilishajenga mabanda
Ucjui unanisaidiaje kwa hilo
TATIZO PESA MKUUMayor Slum Joseverest Sample labda nikuuzie ila nijue ni ya kiwango gani cha biashara kwanza
Wape walioandika wanahitaji samplePlan ata mimi ninazo toa pesa ndio shida.
Usiseme hivyo mkuu ujue dada zangu humu wanajua una hela sana walau ungesema hivyo inbox sasa wanaanza kukuchora ukirusha jiwe gizani watastuka eti uliwahi kusema huna hela JoseverestTATIZO PESA MKUU
SAWA MKUU NIMEKUPATAUsiseme hivyo mkuu ujue dada zangu humu wanajua una hela sana walau ungesema hivyo inbox sasa wanaanza kukuchora ukirusha jiwe gizani watastuka eti uliwahi kusema huna hela Joseverest