Leo natoa ofa na ni sadaka ya IDD, Kwa anayehitaji Business Plan nitamuandikia Bure

Ofa hii ni sadaka na ina msharti yake kwanza,

1. Anayehitaji awasiliane na mimi ndani ya masaa 2 kuanzia sasa hivi nitaiandika bure,
2. Anayehitaji business plan awe tayari ana mtaji au atakuwa na mtaji ndani ya mwezi 1,
3. Anayehitaji Business plan lazima awe tayari kushare changamoto atakazo kutana nazo ndani ya kipindi cha miezi 3 tu ili nimsaidie kumuelekeza jinsi ya kutatua ili business plan iwe imekamilika ila baada ya hapo sitawasiliana naye bure,
4. Anayehitaji Business plan lazima awe ana usajili au atasajili Biashara kuanzia kesho hadi ijumaa ili nione kama yuko seriaz,
5. Anayehitaji business plan lazima awe na umri kuanzia miaka 26 kwenda juu.
6. Anayehitaji Business plan lazima awe na mtaji au ategemee kuwa na mtaji usio pungua kuanzia Mil 5 kwenda juu.

Karibuni kwa anayeweza na anayehitaji, mwisho wa offer ni saa 12.37pm leo.

Kazi hizi za sadaka huwa tunazifanya baada ya kuwa tumepata faida kwa kazi nyingi inabidi zingine tutoe ofa ili mwenyezi Mungu atupe rehema

Dizain hii ya Pundraahh huwa n shida to we ukiamua kutoa sadaka toa to ukitaraji malipo toka Kwa Muumba wako, hayo mengine ni ya ziada to Mpaka uweke masharti maana yake nn!!?? Unaweza toa Elimu au Mwongozo mzur Leo lakin ukamfaa mtu kesho we unakazia Eti lazima uwage na kiasi flan cha pesa ndo nkuandikie Proposal business plan,..
 
Hizi n element Za Jamaa Huyu kuwa n mganga wa kienyeji Japo anajificha Ficha lakin wanapsychology tumeligundua hilo ... Hayo masharti n evidence tosha

Dizain hii ya Pundraahh huwa n shida to we ukiamua kutoa sadaka toa to ukitaraji malipo toka Kwa Muumba wako, hayo mengine ni ya ziada to Mpaka uweke masharti maana yake nn!!?? Unaweza toa Elimu au Mwongozo mzur Leo lakin ukamfaa mtu kesho we unakazia Eti lazima uwage na kiasi flan cha pesa ndo nkuandikie Proposal business plan,.. Pimbavu kweli wewe
Bora umesema mkuu
 
Ofa hii ni sadaka na ina msharti yake kwanza,

1. Anayehitaji awasiliane na mimi ndani ya masaa 2 kuanzia sasa hivi nitaiandika bure,
2. Anayehitaji business plan awe tayari ana mtaji au atakuwa na mtaji ndani ya mwezi 1,
3. Anayehitaji Business plan lazima awe tayari kushare changamoto atakazo kutana nazo ndani ya kipindi cha miezi 3 tu ili nimsaidie kumuelekeza jinsi ya kutatua ili business plan iwe imekamilika ila baada ya hapo sitawasiliana naye bure,
4. Anayehitaji Business plan lazima awe ana usajili au atasajili Biashara kuanzia kesho hadi ijumaa ili nione kama yuko seriaz,
5. Anayehitaji business plan lazima awe na umri kuanzia miaka 26 kwenda juu.
6. Anayehitaji Business plan lazima awe na mtaji au ategemee kuwa na mtaji usio pungua kuanzia Mil 5 kwenda juu.

Karibuni kwa anayeweza na anayehitaji, mwisho wa offer ni saa 12.37pm leo.

Kazi hizi za sadaka huwa tunazifanya baada ya kuwa tumepata faida kwa kazi nyingi inabidi zingine tutoe ofa ili mwenyezi Mungu atupe rehema
Wewe una biashara...??
 
Wewe una biashara...??
Fuatilia uulizie mmiliki wa Coaster 4 zimeandikwa BN zinazoenda route ya Bagamoyo - Kibaha ujue mmiliki wake wadadizi ma dereva, ulizia Coaster 3 zinazofanya route ya Arusha Moshi zimeandikwa Sv fuatilia ujue mmiliki ni nani. mengine badae ukishapata jibu
 
Back
Top Bottom