Leo natoa ofa na ni sadaka ya IDD, Kwa anayehitaji Business Plan nitamuandikia Bure


Dizain hii ya Pundraahh huwa n shida to we ukiamua kutoa sadaka toa to ukitaraji malipo toka Kwa Muumba wako, hayo mengine ni ya ziada to Mpaka uweke masharti maana yake nn!!?? Unaweza toa Elimu au Mwongozo mzur Leo lakin ukamfaa mtu kesho we unakazia Eti lazima uwage na kiasi flan cha pesa ndo nkuandikie Proposal business plan,..
 
Bora umesema mkuu
 
Wewe una biashara...??
 
Wewe una biashara...??
Fuatilia uulizie mmiliki wa Coaster 4 zimeandikwa BN zinazoenda route ya Bagamoyo - Kibaha ujue mmiliki wake wadadizi ma dereva, ulizia Coaster 3 zinazofanya route ya Arusha Moshi zimeandikwa Sv fuatilia ujue mmiliki ni nani. mengine badae ukishapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…