Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
1. Hakuna ulipojibu kama hiyo "Pure Conscious Energy" ina upendo wote. Kama unasema pako, nukuu hapa.1.) Hilo swali la kwanza nimeshalijibu, soma jibu langu kwenye post ya juu, au hujaisoma?
2.) Unaweza ukaiita dini mpya au chochote unachopenda, ila ni ‘taarifa mpya kwako’, ipokee au ikatae kwa hoja.
3.) Interpretation yangu kutokuwa sahihi inabidi ukudhihirishe kwa hoja, sio useme tu nafanya misinterpretation bila hoja yeyote, yaani kisa tu umesema basi itoshe? Toa hoja
4.) How do i prove ‘Conscious energy’? Hii nimeshajibu kwenye post yangu juu kuhusu ‘Delayed choice quantum eraser’ , au hujaisoma?
5.)
2. Hakuna taarifa mpya hapa. Nimemsoma Philip Goff akielezea mambo haya siku nyingi. Katafute kitabu chake "Why? The Purpose of The Universe" na "Galileo's Error". Hata wewe unaweza kujifunza mengi zaidi kuhusu haya mambo unayoyasema, yakiwa yameandikwa kitaalamu zaidi. So, hakuna kipya ulichoniambia hapa.
3. Umezipa photons agency na consciousness bila proof, bila hata ku define consciousness ni nini na tunaipimaje. Pia hujavuka threshold ya correlation na causation. Yani wewe unaweza kuona gari ikiwasha indicator ya kushoto inakata kona kwenda kushoto, ukaona gari ikiwasha indicator kulia, gari inakata kona kwenda kulia, uka conclude kwamba ile taa ya indicator ndiyo inasababisha gari liende kulia au kushoto, si unaona ikiwaka kulia gari linakata kona kulia, ikiwaka kushoto gari linakata kona kushoto?
4. Soma 3 hapo juu. Huja demonstate consciousness na agency. Hujaonesha umevukaje matatizo ya correlation/causation.
Mpaka sasa hujaweza hata ku define consciousness tu, achilia mbali ku prove uwepo wa "Pure Conscious Energy".
Frankly speaking, "Pure Conscious Energy" sounds like one of those scandalous religious Hare Krishna cults they start in California every few years.