Kama umeajiliwa au umejiajiri fanya haya
Tunza asilimia kadhaa za mshahara wako. Cut off chai ya asubuh kwa mama ntilie. Jion wai nyumbani upike
Pesa hapo utaweza tunza then jifunze biashara yyte iliyopo kwenye mazingira yanayokuzunguka au biashara ya Boss wako apo anza taratbu the same business at small scale. Baada ya miezi sita rudi hapa unishukulu
Nb: hakuna mafanikio yatakayopatikana kwa kufanya kazi kwa mazoea na uzembe
Ushauri mzuri sana Mkuu,
Ila to cut off chai ya asubuhi hapana Mkuu.
Mlo wa asubuhi ni muhimu sana Kwa ajili ya afya hata washauri wengi wa afya wanashauri hivyo.
Naunga mkono hoja yako ya kupunguza matumizi Kwa kupika mwenyewe chakula.
Ningeboresha Kwa kushauri chai mtu anywe na % kubwa ya wahangaikaji hawanywi chai majumbani .
Sana sana kama ni kujibana sana a cut off lunch.
Chakula cha jioni mtu ajitahidi apike ale nyumbani kwake.
Kariakoo kuna wakinga wanatoka home kwao na vipaseli vina mihogo au viazi vya kuchemsha na chupa ya maji.
Hiyo ndio breakfast yao na lunch jamaa hawatumii fedha Kwa ajili ya Kula au kunywa muda wote anapokuwa Kkoo.
Any way ushauri mzuri Kwa wanaotafuta ila mimi binafsi shauri mtu ajinyime chakula kama uwezo ninao,
Yaani niwe natafuta pesa na niweze kupata pesa hadi za kuweka akiba ya Maendeleo na dharura halafu nijinyime chakula?
Namshauri vijana mjinyime starehe kwani zinamaliza sana fedha