Shoga angu vibaya hivo yani nimestuliwa too late jamani lohCousin nlisahau kukustua huku kuna ubuyu jaman yaan nisamehe buree
Nisamehe tu shogaangu siku nyingine ntakustua hata kwa kukubeepShoga angu vibaya hivo yani nimestuliwa too late jamani loh
Hahaaaaa hiyo ya kibibi noma sana aisee Jf ni mtandao unaotumiwa na watu wazima mkuu ila nyuma ya keyboard full shauzi na kujibebisha juu.Pole kiongozi ila JF kuna ma pretenders wengi sana hizi ID zinaficha mengi nakumbuka 2012 niliopoa kibibi humu ndani jinsi kilivyokuwa kinanata kama under 20 wengine wake za watu ila ukiwa nae chemba anakwambia am single kivumbi kinakuja siku umetulia zako unakuta kuna namba ngeni inakupigia simu inakuchimba mkwara kuwa unachukua mali yake...sema mwisho wa siku JF idumu mana tumepata na wachumba humu na marafiki wa kudumu.
Mi nakukubali tuu Mkuu,najua una Degree moja,hiyo 8m ulitoa mfano tuu,kumbe nili quote mfano wako...Nilitoa mfano mkuu
Don quote me sivyo
Hahaahaaaa....
ha ha ha acha zako akati nimesikia wee umevuta mkoko kama wa masanja afu unanisingizia miyee aiyaaaa bana...hata hivo unaniombea mema...!!aliyekupa wee ndo atanipa mie😛ngoja mie nilimie mihogoHahaha wewe si umenisusa bwana.toka ununue verosa umepanda bei.mie nipo kijijini huku nalima ufuta
oppps aiseee pole sana!!This is true story jamani
Siunajua ubuyu ni kipoozeo cha Ku refresh baada ya msoto wa sikuNisamehe tu shogaangu siku nyingine ntakustua hata kwa kukubeep
Hahahh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siunajua ubuyu ni kipoozeo cha Ku refresh baada ya msoto wa siku
Nashangaa avatar zinafanana.Hapana kwani nilikusemesha??
mbona hujatuletea kastori kapya kweli baada ya easter hakuna tukio??Nipo kwa wingi sana mkuu
Hii app yangu huku inaonyesha avatar yangu kwako. Lakini nikiview profile yako inakuja pic nyingineHapana kwani nilikusemesha??
Basi mtakuwa mapachaHii app yangu huku inaonyesha avatar yangu kwako. Lakini nikiview profile yako inakuja pic nyingine
Itakuwa ni hii app inanizingua. Kwani na wewe unaona hivyo huko?Basi mtakuwa mapacha
Acha tu rafiki nilijionea mwenyewe sema na mimi ubishi wangu mana alikuwa akinambia utauweza mziki wangu ila nikawa najua ni changamsha Genge labda anayaweza sana kumbe anaongelea umri...Hahaaaaa hiyo ya kibibi noma sana aisee Jf ni mtandao unaotumiwa na watu wazima mkuu ila nyuma ya keyboard full shauzi na kujibebisha juu.