Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Hizi teknolojia hizi Mimi tu ndo nimebaki na ushamba wangu duh....si kwa umafia huu aiseee.....Hata hivyo kuna watu wameumbiwa moyo wa kutojali hisia za wengine....kusomeshewa watoto bado unarudi kwa X??au huyo ke atakuwa amefata pochi........
 
Pole kiongozi ila JF kuna ma pretenders wengi sana hizi ID zinaficha mengi nakumbuka 2012 niliopoa kibibi humu ndani jinsi kilivyokuwa kinanata kama under 20 wengine wake za watu ila ukiwa nae chemba anakwambia am single kivumbi kinakuja siku umetulia zako unakuta kuna namba ngeni inakupigia simu inakuchimba mkwara kuwa unachukua mali yake...sema mwisho wa siku JF idumu mana tumepata na wachumba humu na marafiki wa kudumu.
Hahaaaaa hiyo ya kibibi noma sana aisee Jf ni mtandao unaotumiwa na watu wazima mkuu ila nyuma ya keyboard full shauzi na kujibebisha juu.
 
Nilitoa mfano mkuu
Don quote me sivyo
Hahaahaaaa....
Mi nakukubali tuu Mkuu,najua una Degree moja,hiyo 8m ulitoa mfano tuu,kumbe nili quote mfano wako...
Ila kaka Hongera Masters&Phd...wote umewatosa.....
Nakutakia maisha Mapya Mema Mkuu....pole sana yataisha Mkuu.
 
Hahaha wewe si umenisusa bwana.toka ununue verosa umepanda bei.mie nipo kijijini huku nalima ufuta
ha ha ha acha zako akati nimesikia wee umevuta mkoko kama wa masanja afu unanisingizia miyee aiyaaaa bana...hata hivo unaniombea mema...!!aliyekupa wee ndo atanipa mie😛ngoja mie nilimie mihogo


This is true story jamani
oppps aiseee pole sana!!
naelewa vizuri tu sema nini mwisho wa story mtaje mhusika ili wengine wasije ingizwa mkenge na huyo mama kubwa!! hope NG ataelewa coz leo umeamua kutoa ya moyoni....na ataamini kuwa unampenda yeye na sio huyo gumegume!!!
 
Hivi kumbe ni kweli kuwa unaweza kukutana na mtu type yako jf mpakaa akumbato? Dah uwa siamini kama mtu jf anaweza anivutie kiasi hicho mpaka anione kyupi? Loh. Mtu wa jf he can be just a friend but not a lover loh.

Nimebaki kushangaa kumbe hatu mnaenda beyond? Au ndo maana id mpya zinaongezeka mtu animbato afu niendelee kuwa luckyline? Neverrrrrr! Ushmen umetoa mpyaaaaa!
 
Hahaaaaa hiyo ya kibibi noma sana aisee Jf ni mtandao unaotumiwa na watu wazima mkuu ila nyuma ya keyboard full shauzi na kujibebisha juu.
Acha tu rafiki nilijionea mwenyewe sema na mimi ubishi wangu mana alikuwa akinambia utauweza mziki wangu ila nikawa najua ni changamsha Genge labda anayaweza sana kumbe anaongelea umri...
 
Back
Top Bottom