Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Diva wa Clouds FM anaiba sana story kwenye hili jukwaa na kugeuza sehemu ya kipindi chake kama hii story nimesikia akiisimulia leo nakuja jukwaa hapa naiona iliandikwa toka jana, ila sawa ni ubunifu ila aisahau kusema ameitoa JF maana huo utakuwa ni wizi wa kazi za watu.
 
Jamani,baada ya kuusoma huu uzi kwa utulivu wa hali ya juu na kuutafakari kulikotuka.....
Naomba nami nitoe yangu ya moyoni.
Kwanza nianze na wewe X,umetuvua nguo wanawake wenzio mama,tena hasa sisi tulio na wapenzi wetu huku JF ndio tumebaki uchi haswaaaa!
Umalaya huo umalaya gani?
Hivi unatumia pesa za mwanaume wako wa wakati huo unaenda kuchukulia sijui kupanga hotel na kulala na the so called X wako?

Hivi kwanini huwa hamuwezi kuachana na wanaume zenu moja kwa moja?
Huku unataka,huku unataka....
Ona sasa umelipiga bakuli la dhahabu teke unabaki unajiliza liza.
Mbaya zaidi umepigwa picha ya uchi ukiwa 'on top!'
Uwiiiiiii Nifah mimi ningekufa jamani!
Ushimen una moyo sana,hongera.

Halafu unaonekana malaya uliyekubuhu maana una watoto na kila mwanaume!
Una waume wangapi mama?Maana kuna sehemu katika story nimeona "mume wa pili"!!!!

Katika wanawake wapumbavu wewe namba 1!
Unapata mwanaume anakusomeshea watoto?Mungu akupe nini mwanamke? Loooh!

Haya,baada ya upuuzi wako ukapotezewa bwana mkubwa akampata 'mchuchu' mwingine,ndio nini kumtesa hivyo mwanamke mwenzio?
Ajabu ni watu wazima mlioko kwenye 30's zenu!

Una bahati sana umempata huyo KILAZA,ningekuwa mimi Nifah ndio NG (New GF) ungekomaje?
Kaa pembeni bibi weeee,acha wenye stara zao wajilie vyao.
Shankupe wewe endelea kupasha viporo na mumeo (wewe unamuita X) huko.
Huna hadhi ya kula vipya,vyako viporo tu.
 
Na nyie wanaume mnaomshangaa kama sio kumponda Ushimen...
Hamyajui mapenzi nyie.
Kuna ajabu gani mwanaume kusomesha watoto wa mwamamke aliowakuta nae?
Ingekuwa watoto wa njemba nyingine ambao wamezaliwa ndani ya mahusiano yao sawa.

Hivi mnasikia fahari sana kutokuhudumia wanawake zenu eeh?
Kwa taarifa yenu hakuna mwanamke asiyependa kuhudumiwa.

Hivi unategemea kila siku mtoke out,mwanamke avunje kabati,aende saloon bado akodi taksi sijui bajaj (kama hana usafiri binafsi) halafu usimhudumie akuchekee tu?
Ukiona uko na mwanamke na humhudumii chochote na bado anapendeza kaa ukijua yupo anayehudumia.

Tena nyie msiohudumia ndio mnajidai mna wivu kama nini.

Bahati umpate mwanamke anayeomba,ila asiyeomba kama mimi hapa nakupimia tu.
Na lazima utachapiwa hata iweje!

Mwanaume anayehudumia ana raha yake bwana,hata akikuambia tutoke out unajiandaa kwa furaha.
Hata akikukosea msamaha unapita harakaaaaa....lol

Mind you,hapa siongelei gold diggers,ni wale wadada descent ambao wanaridhika na wapewacho,
Period.
 
Du! ...naona kama nasoma hadithi hivi......hawa wachumba ni hatari kwelikweli....je kisa ndio kiimeishia hapa au unavuta pumzi tena kwa dk 26 hivi kisha utumalizie ...tuchanganue?
 
Diva wa Clouds FM anaiba sana story kwenye hili jukwaa na kugeuza sehemu ya kipindi chake kama hii story nimesikia akiisimulia leo nakuja jukwaa hapa naiona iliandikwa toka jana, ila sawa ni ubunifu ila aisahau kusema ameitoa JF maana huo utakuwa ni wizi wa kazi za watu.
Huyo Diva nae siku yake yaja,na hizo filters basi anajiona mreeeembo.
Alikuwa cheusi kama Lupita Nyongo.
DaJane huyu nae akae kwenye list ya kutumbuliwa.
 
nifah muhusika anaanza na k.... Mwisho wa story umalizie jina. Ahaaaaaa huu ubuyu mtamu!
Shoga sitaki kushikwa umbea mwenzangu,hata wahusika sijawajua.
Ila hadi kesho nitawajua wote.
 
maniner yaaan huu ubuyu unaunguza meno!!!hahaaa yamemfika hapa ushiboi..kweli jf ni zaidi ya uijuavyo!! cuzoo zawadi yako ni dira la kuchezea kigodoro hahaaaa
Heheheheeee cuzoo madira naendeaga sokoni.
Siwezi kusubiri kupata hilo dira....
Asante.
 
Mhhhhhh......
Hili jambo lilikua zito sana kwangu na hakika nilishindwa kuliba.
Hapo niliamua kumtafuta tena X wangu na kuanza kufanya nae mazungumzo kwa kutaka kujua kulikoni hata wakafikia hatua ilie.
Yeye alinijibu kwamba anaumia kwakua ananipenda sana, hivyo ana amini kwamba bila NG nisinge mtosa kwani ningeweza msamehe.
Anyway.....
Kuna mengi sana yalitokea na kufupisha nikwamba.....
Naomba niwaweke wazi wadau wote ambao wanaijua hii maneno kuhusu kilicho jiri kwa NG kuchafuliwa na X, yote alio yafanya X sio ya kweli na hata hayo anayo yasema kwamba mimi ni mchumba wake pia sio kweli, zaidi anacho kifanya X ni kutumia kunijua kindakindaki kama ndio njia ya kuwashawishi watu kwamba mimi ni mumewe, nakumbuka kuna mdau mmoja aliniukiza hili swali na nilicho kifanya ni kumtumia cheti cha ndoa cha X nilicho tumiwa na mumewe wa pili ili kunihakikishia kwamba yule ni mkewe kwasababu hata mimi nilikua nakataa kwamba kwajinsi X alivyo mpole vile lazima atakua auasingiziwa au ni wivu wa mapenzi wa jamaa.
Pia X amekwenda mbali zaidi kwa kuingilia hata Uhuru wa kuabudu wa NG ili tu kuhakikisha kwamba anamchafua.
Mwisho nisema kwa wadau kwamba Lengo la mimi kuleta uzi huu si kuntetea NG, kwani nayeye tuliamua kuweka mahusiano pembeni kutokana na hii sinema ambayo imetengenezwa na X kwa akili kubwa.

Naomba niseme radhi iwapo kuna yeyote nitakua nimemkwaza kutokana na uzi huu, isipokua nilichokua najaribu kufanya ni kuweka mambo sawa huku nikimsisitiza X aache kumuumiza mdada wa watu na akumbuke kwamba hata yeye ana watoto wakike na haito tokea akafurahi iwapo binti yake atafanyiwa kama hivyo anavyo mfanyia mwenzie.
Pole mkuu kwa kisanga hiki..Huyu NG hadi leo bado anakinyongo na ww? au ulimueleza akaelewa kuwa hauhusiki na hayo mapichamapicha yanayoendelea?
 
Shoga sitaki kushikwa umbea mwenzangu,hata wahusika sijawajua.
Ila hadi kesho nitawajua wote.
X kumjua itakuwa rahisi zaidi..Mana jamaa amesema ni mtu wa roporopo..Uenda huko alipo anajiandaa hata kujibu mashambulizi
 
X kumjua itakuwa rahisi zaidi..Mana jamaa amesema ni mtu wa roporopo..Uenda huko alipo anajiandaa hata kujibu mashambulizi
Thubutuuuu,alivyovuliwa nguo hapa hata japo ni fake ID's lazima aone aibu.
Akifanya hivyo nitamvulia kofia.

Hivi unadhani nikiwaamulia hao hata patakucha sijawajua?
Basi tu naona mizinguo....
Mimama mizima hata haishtui,wangekuwa watoto wabichi ningekesha nikiwasaka.
 
Thubutuuuu,alivyovuliwa nguo hapa hata japo ni fake ID's lazima aone aibu.
Akifanya hivyo nitamvulia kofia.

Hivi unadhani nikiwaamulia hao hata patakucha sijawajua?
Basi tu naona mizinguo....
Mimama mizima hata haishtui,wangekuwa watoto wabichi ningekesha nikiwasaka.
Kama akili hazimtoshi atakuja tu..
Jf kichaka aisee..Huko Pm kuna matukio ya hatari...Unaweza kutengeneza movies za kutosha..
 
Hivi kumbe ni kweli kuwa unaweza kukutana na mtu type yako jf mpakaa akumbato? Dah uwa siamini kama mtu jf anaweza anivutie kiasi hicho mpaka anione kyupi? Loh. Mtu wa jf he can be just a friend but not a lover loh.

Nimebaki kushangaa kumbe hatu mnaenda beyond? Au ndo maana id mpya zinaongezeka mtu animbato afu niendelee kuwa luckyline? Neverrrrrr! Ushmen umetoa mpyaaaaa!
Mkuu...
Hawa wadada sikuwapata humu jf.
Mimi ndie niliwaleta jf..[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom