Teh mbona wajihamisawa....isiwe Mimi tu
Njoo mara moja bana then utarudi kwa jamaa[emoji12]ha ha ha jamaa kanikataza nisiingie kule...kasema akinikuta kule atanipa talaka tatu!!!
Me Mwenyewe mzee ujuee nakuja tujuane basiiahaaaaaaaa kwanza kua si unajua wavulana wananuka maziwa ebu nikomae na wazee wenzangu
hili nalo ni jipu bil shaka.Yaani umeamua kunitongoza hapa hadharani? Napenda wakulima mie hujui tu.
Huyo Diva nae siku yake yaja,na hizo filters basi anajiona mreeeembo.Diva wa Clouds FM anaiba sana story kwenye hili jukwaa na kugeuza sehemu ya kipindi chake kama hii story nimesikia akiisimulia leo nakuja jukwaa hapa naiona iliandikwa toka jana, ila sawa ni ubunifu ila aisahau kusema ameitoa JF maana huo utakuwa ni wizi wa kazi za watu.
Shoga sitaki kushikwa umbea mwenzangu,hata wahusika sijawajua.nifah muhusika anaanza na k.... Mwisho wa story umalizie jina. Ahaaaaaa huu ubuyu mtamu!
Shoga inahusu mimama mizima ya 30's kugombea 'mti'?Jf Nifah ni zaidi ya uijuavyo
Heheheheeee cuzoo madira naendeaga sokoni.maniner yaaan huu ubuyu unaunguza meno!!!hahaaa yamemfika hapa ushiboi..kweli jf ni zaidi ya uijuavyo!! cuzoo zawadi yako ni dira la kuchezea kigodoro hahaaaa
Pole mkuu kwa kisanga hiki..Huyu NG hadi leo bado anakinyongo na ww? au ulimueleza akaelewa kuwa hauhusiki na hayo mapichamapicha yanayoendelea?Mhhhhhh......
Hili jambo lilikua zito sana kwangu na hakika nilishindwa kuliba.
Hapo niliamua kumtafuta tena X wangu na kuanza kufanya nae mazungumzo kwa kutaka kujua kulikoni hata wakafikia hatua ilie.
Yeye alinijibu kwamba anaumia kwakua ananipenda sana, hivyo ana amini kwamba bila NG nisinge mtosa kwani ningeweza msamehe.
Anyway.....
Kuna mengi sana yalitokea na kufupisha nikwamba.....
Naomba niwaweke wazi wadau wote ambao wanaijua hii maneno kuhusu kilicho jiri kwa NG kuchafuliwa na X, yote alio yafanya X sio ya kweli na hata hayo anayo yasema kwamba mimi ni mchumba wake pia sio kweli, zaidi anacho kifanya X ni kutumia kunijua kindakindaki kama ndio njia ya kuwashawishi watu kwamba mimi ni mumewe, nakumbuka kuna mdau mmoja aliniukiza hili swali na nilicho kifanya ni kumtumia cheti cha ndoa cha X nilicho tumiwa na mumewe wa pili ili kunihakikishia kwamba yule ni mkewe kwasababu hata mimi nilikua nakataa kwamba kwajinsi X alivyo mpole vile lazima atakua auasingiziwa au ni wivu wa mapenzi wa jamaa.
Pia X amekwenda mbali zaidi kwa kuingilia hata Uhuru wa kuabudu wa NG ili tu kuhakikisha kwamba anamchafua.
Mwisho nisema kwa wadau kwamba Lengo la mimi kuleta uzi huu si kuntetea NG, kwani nayeye tuliamua kuweka mahusiano pembeni kutokana na hii sinema ambayo imetengenezwa na X kwa akili kubwa.
Naomba niseme radhi iwapo kuna yeyote nitakua nimemkwaza kutokana na uzi huu, isipokua nilichokua najaribu kufanya ni kuweka mambo sawa huku nikimsisitiza X aache kumuumiza mdada wa watu na akumbuke kwamba hata yeye ana watoto wakike na haito tokea akafurahi iwapo binti yake atafanyiwa kama hivyo anavyo mfanyia mwenzie.
X kumjua itakuwa rahisi zaidi..Mana jamaa amesema ni mtu wa roporopo..Uenda huko alipo anajiandaa hata kujibu mashambuliziShoga sitaki kushikwa umbea mwenzangu,hata wahusika sijawajua.
Ila hadi kesho nitawajua wote.
Kaboom uko lindo leo?X kumjua itakuwa rahisi zaidi..Mana jamaa amesema ni mtu wa roporopo..Uenda huko alipo anajiandaa hata kujibu mashambulizi
Teh teh..Namsubiri shem wako mkuu..Aliniaga anaenda kwenye kitchen party hadi sasa hajarudi..Kaboom uko lindo leo?
Thubutuuuu,alivyovuliwa nguo hapa hata japo ni fake ID's lazima aone aibu.X kumjua itakuwa rahisi zaidi..Mana jamaa amesema ni mtu wa roporopo..Uenda huko alipo anajiandaa hata kujibu mashambulizi
Kama akili hazimtoshi atakuja tu..Thubutuuuu,alivyovuliwa nguo hapa hata japo ni fake ID's lazima aone aibu.
Akifanya hivyo nitamvulia kofia.
Hivi unadhani nikiwaamulia hao hata patakucha sijawajua?
Basi tu naona mizinguo....
Mimama mizima hata haishtui,wangekuwa watoto wabichi ningekesha nikiwasaka.
Mkuu...Hivi kumbe ni kweli kuwa unaweza kukutana na mtu type yako jf mpakaa akumbato? Dah uwa siamini kama mtu jf anaweza anivutie kiasi hicho mpaka anione kyupi? Loh. Mtu wa jf he can be just a friend but not a lover loh.
Nimebaki kushangaa kumbe hatu mnaenda beyond? Au ndo maana id mpya zinaongezeka mtu animbato afu niendelee kuwa luckyline? Neverrrrrr! Ushmen umetoa mpyaaaaa!