Wewe mwanaume wa wapi best?Mkuu mi namalizia kucheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwanaume wa wapi best?Mkuu mi namalizia kucheka
General upo??Nimepapenda sana hapo "alipokuwa anakuingilia we ukiwa kwa juu"
Nipo kwa wingi sana mkuuGeneral upo??
Nipo huku KINING'INA, maeneo ya Ifakara, nimekupenda best, njoo ule ubabwa!Wewe mwanaume wa wapi best?
Afadhali... nilidhani na wewe ni mwanaume wa darNipo huku KINING'INA, maeneo ya Ifakara, nimekupenda best, njoo ule ubabwa!
Utakua unafamu undani wake? Ushimen analia ya moyoni kabisa. Funguka basi...Wewe unatafuta kick! Kwanini usimtafute private huyo mchumbaako wa JF ukamchaaaamba tani yako...unakuja kutengeneza stori na wala jina hutaji,kwendraaaaa na wala usirudi
Afadhali... nilidhani na wewe ni mwanaume wa dar
Yaani umeamua kunitongoza hapa hadharani? Napenda wakulima mie hujui tu.Naomba unikubali best, mimi wa mkoani, mkulima wa mpunga!
Aaah wapi...undani anao yeye mwenyeweUtakua unafamu undani wake? Ushimen analia ya moyoni kabisa. Funguka basi...
Hapana best, huko wanaitaga piemu mi sipajui, ningekuja! Naomba nijibu basiYaani umeamua kunitongoza hapa hadharani? Napenda wakulima mie hujui tu.
Pole mkuuKumbe huyo mumeo alikua amesha ujua mchezo ulio mfanyia, kwa maelezo alio nieleza nikwamba wewe ulimdanganya kwamba mimi ni Rafiki wako kikawaida tu, tena akaniambia kwamba umempa na sim ambayo mimi nilikupa wewe, na kumbe ulisahau kufuta conversation zangu mimi na wewe hapo ndipo alipo anza kuisoma picha nzima.
Nakumbuka kipindi kile mama alinipigia sim kwamba amepigiwa sim na mwanaume alie jitambulisha kwamba ni mumeo na mimi ninamchukulia mkewe, tena jamaa alienda mbali na huku akimwambia mamaangu kwamba ataniua, sikuhiyo mamaangu alifadhaika sana na alinipigia sim kuniuliza mambo yale yalivyo.Then niliamua kudanganya mama kwamba huyo ni mtu mwenye wivu wa kimapenzi tu, na hiyo nilifanya ili nimpoze mamaangu kwa kuogopa presha isije ikapanda na tuka taabika sisi wanawe.
Anyway.....
Hili jambo nilikaa nalo moyoni kwa muda na tayari upendo wangu kwako ulitoweka na nilianza kusubiri tu muda ufike nikuje Tz ili tumalize jambo lile, hivyo nikaamua kuvumilia.
Nilipo rejea Tz, tulizungumza na ulijitetea sana huku ukilia machozi kwamba nikusamehe kwakua jamaa alikurubuni na huku ukisingizia kwamba ulipitiwa na shetani pia kishawishi.
Nilikuomba tuzungumze na huyo mumeo ili tuweke mambo sawa ili kila mmoja akue na amani na maisha yaendelee, ukweli niliumizwa sana na tukio lile na nilikujibu kwamba sikupendi tena na sina hisia na wewe tena, nilikusisitiza kwamba wale watoto wako wawili wanao soma na wakwangu nitaendelea kuwalipia ada kama kawaida na nitawapa mahitaji kama pale mwanzo.
Hii picha ilikua haijifuti akilini mwangu hasa pale ulipokua umechanuliwa miguu.
Hatimae nilirejea hukooo duniani kuendelea na kibarua kama kawaida.
Baada ya muda kiasi kupita niliamua kuanzisha mahusiano na mdada mwingine hapa jf huku tukiwa kwenye mazungumzo na kweli nilimueleza kwamba nilikua na wewe ingawa ndio tulikua kwenye harakati za kamba kukatika.
Bidada aliridhia na nilibakiza zoezi la kukuacha rasmi.
Nikiwa kwenye harakati za kukuacha ghafla skumoja uliniambia habari kwamba mumeo yule wa kwanza ulie zaa nae amemuagiza mwanao akuje kwako kipindi cha likizo, hapo nakumbuka wanangu pamoja na wanao wote walikua likizo na wote ulikua nao hapo jijini.
Then nikasema poa hakuna shaka kwakua baba wa huyo mwanao wa kwanza amemuagiza mtoto sikuona tatizo, lakini nilipata wazo la kuku track down ili niweze ziona calls, MMS na SMS zote zinazo ingia kwako.
Hapo ndipo tena nilipo ona maajabu....
kumbe huyo mumeo wa kwanza alikuja hapo jijini, na wewe ndie ulie lipia hotel kwakua alikuambia hana pesa, na pia ukalala nae pale hotel kisha kesho ukarudi na mwanao kule ulipo kua ukiishi.
Aiseeee.....
Ingawa nilikua nimekueleza kwamba sina mapenzi na wewe na sijutaki tena, ila niliumia sana kwamba natoa pesa mimi alafu wanaume wengine ndio huzitumia...!!
Wewe si upo India,wala usikubali tattyNaomba unikubali best, mimi wa mkoani, mkulima wa mpunga!
Mi mwenyewe mgeni. pm sipajui.Hapana best, huko wanaitaga piemu mi sipajui, ningekuja! Naomba nijibu basi