Leo nayatoa ya moyoni

Wewe unatafuta kick! Kwanini usimtafute private huyo mchumbaako wa JF ukamchaaaamba tani yako...unakuja kutengeneza stori na wala jina hutaji,kwendraaaaa na wala usirudi
 
Wewe unatafuta kick! Kwanini usimtafute private huyo mchumbaako wa JF ukamchaaaamba tani yako...unakuja kutengeneza stori na wala jina hutaji,kwendraaaaa na wala usirudi
Utakua unafamu undani wake? Ushimen analia ya moyoni kabisa. Funguka basi...
 
Wanawaake waliozaa ni majipu, ,,
 
Pole mkuu
 
Aiseeee......
Kuna mengi sana yaliendelea kwa huyu mdada ambae leo nimeamua nimchane.
Mwisho niliamua kujiweka pembeni na niliwafahamisha ndugu zake ili nisije nikalaumiwa.
Lakini watoto sikua nime waambia lolote kwasababu sikutaka wajue kilicho jiri na likizo zilizo fuata wakawa wanakwenda hukooo kwao.

Sasa hapa ndipo hasa picha lilipo anza.
Bidada nilie muacha kumbe katika harakati za ukaribu ili tuachane aliweza nasa msg kwa pm jf nikiwa mwanaume nazoza kifaa kipya niweze miliki.
Duhhhh.....
X- aliweza track mambo mengi sana kwa mdada wangu mpya, then akalianzisha kwamba yule dada ndie amesababisha nikamuacha.....
Hii ilikua boonge la vita nikuvute hata alifikia hatua ya kuwasiliana na mdada wangu mpya na akifanikiwa pia kupata hata namba yake ya sim kwenye Gmail save yangu kwasababu alikua akijua mambo yangu mengi.
X alicho kifanya ni kuhakikisha anasambaza msg za kumchafua mdada wangu mpya kwa kuwa PM watu tofauti alio kua akiamini kwamba wana ukaribu na mdada wangu mpya...
Mbaya zaidi aliweza kutengeneza dialogues ikionyesha kwamba mimi bado nina mawasiliano nae na alitumia akili kubwa kwakua alikua ananijua kiundani hata kifamilia pia, so alitumia nafasi ile ku create another gmaili account kwa kutumia majina yangu yote matatu na alicho tofautisha ni aliweka dot kabla ya herufi ya mwisho.
Now.....
Alicho kifanya ni kuhakikisha anatengeneza conversation dialogue ya mimi na yeye, then anai convate na kutuma kwenye ile Gmail acout.
Lengo lake lilikua ni kutaka kutengeneza mazingira ya kwamba anatunza ushahidi wa yote tunayo chat kwenye E-mail. (hii wataalam wa mambo haya wanajua)

Anyway....
ngoja nipike kwanza nakuja kumalizia
 
Hapana best, huko wanaitaga piemu mi sipajui, ningekuja! Naomba nijibu basi
Mi mwenyewe mgeni. pm sipajui.
aisee siwezi kukukubali kirahisi. Nitumie kwanza gunia la mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…