Leo nayatoa ya moyoni

Mwanaume unaacha kimya kimya unaendelea na mambo yako. siku anakuja kushtuka we ulishamsahau moyoni.
Mkuu....
Nikisha maliza kitambo, sema leo nimeamua kuweka mambo sawa tu
 
Hilo lipo ndani ya uwezo wng. Ila Sijajua kitu kimoja, umeshanikubali ila kwanza nitume mpunga au nikishatuma mpunga ndio utankubali?
Usiwe basi kama wanaume wa dar best. Tuma mpunga...mengine yatafata. Ha ha haaaa unaogopa kuinvest kabla ya kula mzigo? Acha banaaa
 
Wewe unatafuta kick! Kwanini usimtafute private huyo mchumbaako wa JF ukamchaaaamba tani yako...unakuja kutengeneza stori na wala jina hutaji,kwendraaaaa na wala usirudi
Sina haja ya kick aiseeee.....
Zaidi kuna muhanga ambae unaumizwa na hili lisinema
 
Dah bro ushimen...! Pole sana ila nadhani umerelax kias baada ya kuweka mambo hadharani. Bi dada ulompata hapa Jf najua atakuelewa vizuri. Ila mkuu cjakusoma vizuri kumbe huyo mwanamama ulishazaa naye kid mmoja, au ni wawili? Kama ni mmoja mbona umesema "watoto wako" so una watoto wengine wasio wake huyo mama? Ila huyo mama kiukweli yupo ka "fisi" kashika huku na huko wanawake type hiyo hawaolewi mkuu pole again...
 
Usiwe basi kama wanaume wa dar best. Tuma mpunga...mengine yatafata. Ha ha haaaa unaogopa kuinvest kabla ya kula mzigo? Acha banaaa
mbona unawachokoza? mpunga ukiukoboa unatoa mchele kiasi kidogo, so mi ntakutumia mchele kilo 63 badala ya mpunga!
 
mbona unawachokoza? mpunga ukiukoboa unatoa mchele kiasi kidogo, so mi ntakutumia mchele kilo 63 badala ya mpunga!
Sawa. Mchele kilo 63 au vitumbua kilo 63. Hivi vitumbua si ni mchele pia?
 
Sina haja ya kick aiseeee.....
Zaidi kuna muhanga ambae unaumizwa na hili lisinema
Sinema yenyewe haieleweki ya kihindi au kinaijeria.....haya pole muhanga,kunywa maji ulale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…